Kuirudisha computer kutoka user group kwenda domain msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuirudisha computer kutoka user group kwenda domain msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kiwi2010, May 25, 2012.

 1. kiwi2010

  kiwi2010 Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wana IT,kwanza naomba niwaeleze tatizo lililo nipata,mwanzo computer yangu ilikua ipo kwenye DOMAIN nikaibadilisha kwenda kwenye usergroup iliniweze kushea baadhi ya vitu na computer nyingine za jamaa.Baada tu ya kubadilisha tu kutoka domain kwenda usergroup matatizo yafuatayo yakajitokeza

  1.Nikawa siwezi log on kwa kutumia username na password nilizo kuwa nazitumia kwenye account ambayo ilikuwa naitumia kwenye domain.
  2.Baada ya kufanikiwa ku logon kwa kutumia administrator account,baazi ya mafail yangu niliweza kuyaona yakiwa safi na mengine yalikuwa hayafunguki kabisa.

  Sasa wadau nataka kuirudisha computer kwenye DOMAIN kama ilivyokua awali ili niweze kulogon kwa kutumia account yangu nilikua naitumia mwanzo pamoja na kuyapata mafaili yangu yote ya mwanzo ambayo yameharibika.


  ASANTENI.
   
Loading...