Tumia screw driver mkuu, haihitaji pasword
Mkuu nadhani kama jibu lako sio sahihi kama mdau anashidaya kweli. Alihitaji kufahamishwa na kama huna ufahamu huo, ungepita tu!Tumia screw driver mkuu, haihitaji pasword
Kuna ki2 inaitwa KONUSB itafute, itakuruhusu kubypass windows login screen bila password
Piga chini operating system, u-install upya.
computer ya wizi..... bora mwenyewe alivyoilock...
Mkuu nadhani kama jibu lako sio sahihi kama mdau anashidaya kweli. Alihitaji kufahamishwa na kama huna ufahamu huo, ungepita tu!
Tumia screw driver mkuu, haihitaji pasword
hebu wataalam wa haya mambo ya computer mnipe maujanja ya namna ya kufungua/kutumia computer bila kuifahamu user password