Tigo internet for htc inspire 4g

Tigo internet for htc inspire 4g

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Posts
3,946
Reaction score
5,087
Wakuu natumia sikmu ya HTC Inspire 4G na line ya tigo, nimeweza kuwa connected, napata facebook e mail etc. tatizo siwezi kubrowse internet inakataa nimejalibu google search wapi, wataalam nisaidieni tafadhali
 
Mimi nina HTC, nilimtuma kijana akaenda Tigo wakanifanyia mambo, inabidi uende Tigo.
 
Mimi nina HTC, nilimtuma kijana akaenda Tigo wakanifanyia mambo, inabidi uende Tigo.

ok mkuu tatizo la wale watu wa customer care utafikili ni customer scare siwapendi wana pozi sana sijui wanalingia nini kwa kweli.
 
Back
Top Bottom