Msaada matumizi ya sehem ya kuweka line kwenye Dell latitude D620

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Ninatumia dell latitude D620 nikitoa battry naona sehem ambayo chip inaweza kuingia naomba kujua matumizi yake na kama inaweza kuunganisha na internet pasipo kuwa na modem na kama inawezekana nitahitaji softwere gani na maelekezo yoyote muhimu plz.
 
ingia Dell Official Site - The Power To Do More | Dell alafu fungua link ya support & drivers hapo utaweka model ya laptop yako utakutana na drivers mbalimbali wewe download dell true gprs modem una ufanye installation au unawexs google kupata application from different source, hapo hautakuwa na haja tena ya modem na mara nyingi hu support simcard za gsm
 
na pia itategemea na kama ile radio yake bado ipo ndani...laptop nyiingi za dell d620 nilizokutana nazo ziina hiyo sehem ya kuwekea line lakini ile radio yake yenyewe ya kudaka signals(inakuwa kwenye motherboard) inakuwa hamna...so ukiweka software yake haiipati hardware na hata ukiweka line haitambui kitu...mi nilikuwa na dell d630 na ilikuwa na hiyo sehem na ikawa inafanya kazi vizur tu ila sijajua hizi d620 ni kwa nini nyiingi zina hiyo sehem but ukifungua ndani unakuta radio hamna!!
 
Back
Top Bottom