Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina scrits (clones) za website kama youtube, myspace na twitter. Kwa mwenye scripts nyingine naomba tufanye mbadilishano hapo.. (barter trade)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshma kwenu wadau.Nimeweka window xp kwenye computer yangu then nkaweka vlc na windo media zimekubali kuwa installed ila tatzo haziplay movies wala music.Nifanyeje? Ushauri naomba.Asanten
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa heshima wanajamvini naomba msaada wa list au majina ya EDUCATIONAL COMPUTER GAMES ambazo naweza kudownload kwa kupita utorrent au vinginevyo na game hizo ziwe zinawafaa watoto wa kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kuna mtu anataka kuchkua notebook used..sa ananiona mi ndo mtaalam kichz so ananambia nikamhakikishie kama ni nzuri/bora ama la kabla hajachukua ili asiende chaka.. Sa naombeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
WAKUU KWANZA NIWAPENI POLE KWA UCHOVU WA KAZI. WAKUU NINGEPENDA KUELEKEZWA NI KING'AMUZI GANI NINACHOWEZA KUPATA Tv ZOTE ZA KIBONGO kabla sijafanya manunuzi. Tafathalini msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina fllash xbox 360 console kuwezesha console yako kucheza game za copy. Unaweza kudownload games toka GamesTorrents - Bittorrent Juegos PC PS2 PSP XBOX360 na kuzi burn mwenyewe kutumia Dvd za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mambo vp? Kuna hii yotube nimeidownload kwenye simu yangu ya samsung gt 5830i ninaitumia kudownload nyimbo na muvi ila tatizo lake ni kuwa inapodownload haiumalizi kabisa wimbo au inagoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Last Thursday, Judge Richard Posner in Chicago federal court canceled Apple's long-awaited trial against Google Inc's Motorola Mobility division, which makes devices powered by the Internet...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Is it possible to receive Tanzania television channels in England especially in London, and if so, how to connect and who does the connection?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji cd ya window
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwenye maujuzi tujuzane how can i use my car kufua umeme kwa house yangu if possible... na garama je? senks
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Usihofu kama umepoteza funguo na haupo karibu na rimote yako ya pikipiki au gari. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia simu mtu alite nyumbani na umuambie achukue rimoti ya pikipiki au gari yako na...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Download Movies, Games, Software and other Pia inauwezo wa pause and resume Just click Express Files for download
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ipo dodoma ni pm au piga 0764728440
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wana jf. Boom Ni huduma ya airtel.. Ambayo unalipia shilingi mia tano tsh500.. Unauganishwa na free call kwa namba moja kwa wiki nzima bila kulipia chochote.. Kuna rafiki angu aliunganishwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nauliza kama kumiliki blogs ni ujiko au laa!! Maana siku hiz tumekuwa tukilazimishwa kutembelea blogs za watu bila ridhaa yetu. Hili hufanywa na wale waoweka matangazo ya kazi humu. Hebu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu natumia simu ya Mi-A300 ina OS ya android v.2.2 (froyo) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kama naweza kui'upgrade kwa android version ya juu zaidi hata at least v.2.2.1 naomba anisaidie.. pia...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
heshima yenu wanajamvi. nlikuwa nikitumia hii huduma ya bomba saba kwa kipindi kirefu kidogo,il juzi nimejaribu kujiunga imegoma kabisa, msaada tafadhari mwenye kujua lolote kuhusu hii huduma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom