Nawezaje kuweka screenshot? Msaada plz.

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
JF heshima mbele naomba msaada jinsi ya kuweka screenshot kama sijakosea jina yaani kuhamisha muonekano wa web page ninayo browse nikaweza kuiweka kwenye ujumbe kama hapa ninapoandika mtu akaweza kuona kile nilichokua naona. Yaani kama hii page ya jf nawezaje kuiweka ikaonekana pamoja na ujumbe huu nawasilisha.
 
kwa computer window 7 bonyeza start then nenda accesories halafu tafuta kitu kinaitwa SNIPING TOOL hii ndo inatumika kucapture screen shot.

Pia utapata option ya kalamu ambayo itasaidia ku indicate maeneo muhimu ambayo ungependa watu wayaone kwenye screenshot yako

Ukimaliza uta upload sehemu yoyote hiyo picha yako(hata hapa jf) then utacopy url na kutumia tag za image za bb code kuieka
 
simple, just "prntScr" kwenye keyboard yako then fungua Paint au word, au powerpoint kisha bofya Ctrl+V. alternatively unaweza kutumia program inaitwa Screen Capture and Print Screen software ndo niipendayo. kama unatumia simu ya android unaweza tumia app iitwayo "screenshot it" kama ni blackberry tumia "screenmunch"
 
press CTRL + ALT+PRTSC (print screen) then unaenda ku paste kwenye word au powerpoint kisha una right click na kusaive kama picha...
Hatua ya kwanza nimeweza kucopy lakini kuitupia hapa jf bado mtihani
 
sasa ili kuiweka hapa jf kuna njia mbili rahisi...wakati unaandika post yako kwenye hiyo sehem ya kuandikia kwa juu pale utaona kuna vi icon mbalimbali ikiwemo ya image na nyingine kwa ajili ya attachment..unaweza kutumia yoyote kati ya hizo...

Ukiclick mfano pale kwenye icon ya image itakuletea window ya kukutaka ku upload picha yako either kutoka online kwa kuweka url au kui upload direct from computer yako..

Njia ya pili ni hiyo ya attachment ambayo una click pale kwenye icon ya attachment then itakuletea window ina maelekezo yote jinsi ya ku attach picha yako!!
 
najaribu
 

Attachments

  • Doc1.docx
    159.4 KB · Views: 36
sasa ili kuiweka hapa jf kuna njia mbili rahisi...wakati unaandika post yako kwenye hiyo sehem ya kuandikia kwa juu pale utaona kuna vi icon mbalimbali ikiwemo ya image na nyingine kwa ajili ya attachment..unaweza kutumia yoyote kati ya hizo...ukiclick mfano pale kwenye icon ya image itakuletea window ya kukutaka ku upload picha yako either kutoka online kwa kuweka url au kui upload direct from computer yako..njia ya pili ni hiyo ya attachment ambayo una click pale kwenye icon ya attachment then itakuletea window ina maelekezo yote jinsi ya ku attach picha yako!!
Bado inazingua haitokei moja kwa moja inakuwa kama inavyoonekana hapo juu
 
New Picture.png
Mkuu SIJUI NINI Asante sana naona nimeweza
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom