msaada kwenye hii samsung SGH-T746

msaada kwenye hii samsung SGH-T746

Epicauta elbovitata

Senior Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
143
Reaction score
19
jaman nimedownload opera min na uc browser kwenye hii samsung.but nikiopen uc browser inaload tu na opera inanambia ni review my network setings..kusema kwel sina mazoea kabisa na samsung especialy dis model.so kama kuna mtu mwenye ujuz na hii kitu plz help me out.
help will be apriciated
 
hiyo opera ni v ngapi?pia cheki kama mda na tarehe vipo sahihi
 
hizo ni android unabid uwe na pesa na uwe na bundle full ,
nenda kwenye setting tafuta acces point names baadhi huandika Apn andika www.aitel.com hivyo hivyo kwa tigo au www.tigowap.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom