MSAADA Please! Comparison kati ya IPAD na ASUS tablet computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA Please! Comparison kati ya IPAD na ASUS tablet computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Jun 5, 2012.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wakuu, hebu tudadavue kidogo hili swala!

  IPAD 3 na ASUS TABLET COMPUTERS zina tofauti gani? bora ni ipi? Zinaweza kulinganishwa au kutofautishwa vipi katika katika ubora, utendaji, nk

  Ikiwa mtu ana uwezo wa kununua yoyote kati ya hizo ungemshauri anunue ipi na kwa sababu zipi?

  Najua hapa JF nitapata elimu ya kutosha kuhusu swala hili

  Natanguliza shukrani!
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Nenda ASUS au tablet yoyote inayotumia android ,I pad inafaa kwa walio majuu,kwani apps zake nyingi ni za kununua ilihali android ni buuure,hata simu zitumiazo android ndio naona zinachukua chat kwa hapa bongo kwani zina vikorombwezo vingi ambavyo hupata bure tofauti na hizo Iphone,haya ni maoni yangu
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndiyo mkuu nimekupata.
   
 4. S

  Soki JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapa naona umeelezea juu ya apps - kwamba kwa Ipad ni ghali ilihali ASUS kuna urahisi!
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  maoni yanguni kwamba ipad ni nzuri kuliko tablets nyingi. ila tena itadepend na unaongelea ipad ipi: ipad, ipad 2 au the new ipad. the new ipad au ipad3 ina mambo mengi mazuri yanayoifanya nione bora kama retina screen ambayo insemekana haiumizi macho kwa kuchezea games au kusomea na nimeipenda zaidi ios kuliko android coz iOS ina mngao na mtazamo "slick". kuhusu apps, sio swala la kuogopesha kwamba zinauzwa, nimetumia ipad almost miaka miwili, sina credit card lakini nimecheza almost every game made for the apple. unahitaji kaujuzi kidogo tu, net na kujiamini

  lakini baada ya kusema hayo, siwezi mshawishi mtu ambaye sio 'technology savvy' au mtaalamu wa kiteknolojia zaidi ainunue coz kama huna hela ya kununulia apps na huwezi kujailbreak itakuwa kitu ovyo, so swali langu kwako ni.. unaweza kununua apps au kuziweka ki'pirate'?? lol
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,440
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  I pad 3
   
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  iPad 3 ni nzuri mkubwa, ndio maana iPad zinatumiwa sehemu nyingi ikiwemo maofisini, kwenye mikutano, vyombo vya habari na hata bungeni hiyo yote kwasababu ya uwezo wake na stability & reliability ya operating system (IOS). IOS ni nzuri kwa performance na ndio inayoongoza kuwa stable, applications haziCrash ovyo kama kwenye Android. Na pia swala la applications zake kuuzwa hiyo sio ishu kwasababu kuna kitu kinaitwa (JAILBREAK), ni njia inayotumika kupata Applications zinazouzwa kwenye store (BURE). Mimi natumia iPad mda mrefu na nilishasahau kama applications zake zinauzwa kwani nikihitaji tu, nazidownload freely anytym, na kuJailbreak imerahisishwa zaidi, just a few clicks and your done! Kama alivyokwishasema mkuu "Leh" hapo, iPad ndio kila kitu kwa ubora, utendaji etc...!
   
 8. S

  Soki JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa kweli budget ya kununulia apps sina! Ipad ninayozungumzia ni 'the new Ipad'
   
 9. S

  Soki JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hivi jaman hizo apps za kudownload (kwa kubuy) ni kama zipi wakati wamekuwekea pale tayari? Au ni games? Au vitabu? ZINA ULAZIMA AU UMUHIMU GANI?
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ila umenipa kazi ya kwenda kucheck hizo apps zinauzwaje pengine ni cheap, you never know! Na je nazihitaji zipi na zipi. Na ikiwa ni cheap na nikishazinunua kama ni za lazima natumia for years - these are things I should concider!
   
 11. S

  Soki JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah Wakuu wa Asus walishanivuta ila tena hawa WA Ipad wameni neutralize! Kwa hiyo niko njia panda! ASUS na IPAD 3 WHICH SHOULD I GO TO?
   
 12. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Soki sio kwamba application zote zinauzwa, NO, zipo Top Free Top Paid hata kwenye Android Market applications zinauzwa vilevile, ni kwamba unaezakuta application flani zinauzwa kwenye Apple Store ila kwenye Android Market ni free, na vilevile kwenye Android Market zinauzwa wakati Apple Store ni free. Na Applications nyingi nzuri zinazouzwa kwenye Apple Store ni Games ila iPad yenyewe kama ilivyo inajitosheleza sana tu,,sio lazima kulipia Applications kama matumizi yako ni ya ofisini inajitosheleza sana, na kama utahitaji Games na Applications zingine zinazouzwa basi unachofanya ni kuJailbreak iPad yako na utapata hizo Applications Bure!
   
 13. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Applications nyingi bei ipo chini ya $10 (0.99$, 1$, 1.99$ etc) sio bei ghali, ila Application kubwa kama Oxford Advanced Learners Dictionary bei yake kwenye App Store ni 28.99$ na pia Android Market ni 28.99$, Application kama whatsapp messenger inauzwa 0.99$ App Store wakati kwenye Android Market unapewa trial time ya mwaka mmoja na baada ya hapo utatakiwa kuinunua. Games kubwa kama Fifa 12 (1.06 GB) bei yake ni 5.99$ App Store wakati kwenye Android Market ni 4.99$ tofauti ni hiyo 1$ na tofauti hiyo pia katika Graphics ya Games (iPhone,iPad games zina quality kubwa saaaana!) kwahiyo kisingizio cha kununua Applications ni kwamba kotekote zinauzwa sema Android free apps ziko nyingi zaidi,,,
   
 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah! Hivi ktk ipad 3 hamna dictationary yoyote?
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nimetumia iPad2, na New iPad, pia nimetumia Galaxt Tab. iPad ni kitu nyingine kaka, iko responsive saaana, na katika kutumia koote haijawahi kukwama kwa namna moja au nyingine, in short ni kama walivyosema wadau; iko reliable, na vert strong pia. Hata ukishika mkononi ukafumba macho ni kama umeshika kitofali cha aluminium tofauti na tablets zingine kama Galaxy ambayo ukiishika unaiogopa, unakaza mkono kwa kuhofia kuidondosha muda wowote..yaani unahisi kama umeeba yai!
   
 16. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  zipo nyingi tu kuna hizi Dictionary.com, Advanced English Dictionary, Dictionary etc...zote free!

  [​IMG]

  [​IMG] [​IMG]
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  The new iPad has been announced by Apple! As expected, it has an amazing retina display, a big performance boost, and a new model with high-speed 4G LTE capabilities alongside the standard Wi-Fi fare. Here are some more details of the latest iPad:


  iPad 3 Features & Specs


  Here is what we know about the next iPad:  1. Retina display, with a resolution of 2048×1536, 3.1 million pixels at 264ppi
  2. A5X Processor, quad-core graphics
  3. 1GB of RAM
  4. 5 megapixel iSight camera
  5. 1080p video recording
  6. Voice dictation, similar to Siri without the questions
  7. 3G & 4G LTE connectivity
  8. 10 hour battery life, 9 hour battery on 4G
  9. 9.4mm thick, weighs 1.4lbs
  10. Pre-orders start TODAY, available on March 16
  11. iOS 5.1
  12. 4G support comes to both Verizon and AT&T. Outside of the USA, 4G LTE will also be offered on Rogers, Bell, and Telus initially, presumably with more carriers to come down the road. The iPad can also be used as a personal hotspot with it's 4G speeds, although the price of that varies per carrier.


  New iPad 3 Prices.


  Both black & white models will be available, as usual:


  New iPad with Wi-Fi Prices


  16GB Wi-Fi – $499
  32GB Wi-Fi – $599
  64GB Wi-Fi – $699
  New iPad with 4G LTE Prices


  16GB 4G LTE – $629
  32GB 4G LTE – $729
  64GB 4G LTE – $829


  (Officially, the new iPad is called "iPad" and referred to as the "3rd generation" model, but many people will call it iPad 3 anyway.)
   
 18. S

  Soki JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
   
 19. S

  Soki JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hebu tuwekee hapa some specs za ASUS
   
 20. S

  Soki JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ila resolution ya Ipad 3 naona ni kiboko!
   
Loading...