tengeneza universal windows 7 installation DVD kutoka kwenye cd yoyote ya windows 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tengeneza universal windows 7 installation DVD kutoka kwenye cd yoyote ya windows 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Jun 21, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Nadhani wengi mnajua au mlishawahi sikia kuhusu installation DVD za windows 7 ambayo ni universal. Yani kama ni windows 7 32 bits wakati wa ku install inakuletea options za kuchagua kama wataka home premium au profession au business au ultimate na kama ni 64 bits pia inakuletea options hizo.

  ngoja niwape siri mmoja. Windows installation DVD ya windows 7 kama ni 32 bit inakuwa ina options zote za 32 bits na 64 pia ni hivyo hivyo. Lakini microsoft wanachofanya wanaweka code ambayo itazuia option hizo zitokee ili kama umenunua DVD iliyo andikwa premium directly uta install premium hali kadhalika ultimate au business n.k.

  Sasa ili uweze pata hizo option inabidi uondoe code ifuatayo ei.cfg ambayo inakuwa ndani ya source directory ya installation disc.
  Lakufanya unaweza copy ma file yote ya cd yako kwenye computer kisha ukaingia kwenye directory na kufuta hiyo ei.cfg then uka burn upya hayo ma file kwenye cd nyingine.

  Au njia rahisi ni pale kama una image yaWindows 7, download hiki kisoftware ina kb kadhaa kwa ku click hapa www.code.kliu.org/misc/winisoutils/eicfg_removal_utility.zip

  Hiki kisoftware ukisha kidownload kifungue kisha locate image ya windows 7 yako kuptia hicho ki software kitaondoa hiyo code the waweza burn hiyo image kwenye cd na itakuwa universal.
   
 2. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

  DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ngoja tutest hiyo kitu
   
 3. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu mbona haka ka'file ei.cfg sikaoni. Natumia disc ya win7 ultimate
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hiyo code inapatika kwenye source/folder ndipo utaikuta then delete
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante...tajaribu hii k2
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu nimeingia kweny source ila hako ka'file ei.cfg sijakaona ila nimeona setup.cfg je ndo hilo au?
   
 7. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Tafuta software inaitwa power Iso au ultra Iso then ucreate Iso imageya hiyo windows yako(yaani uicopy kama iso file) then fuata haya :- [download hiki kisoftware ina kb kadhaa kwa ku click hapa http://www.code.kliu.org/misc/winiso...al_utility.zip
  Hiki kisoftware ukisha kidownload kifungue kisha locate image ya windows 7 yako kuptia hicho ki software kitaondoa hiyo code the waweza burn hiyo image kwenye cd kwa kutumia power iso na itakuwa universal.
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu sijakuelewa maana ya window image unaweza kufafanua kidogo
   
 9. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu nimeweka dics ya win 7 professional nimekaona hako ka'file ila kweny disc ya ultimate hakapo
   
 10. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  ISO File , mara nyingi huitwa ISO image ni "image" ya CD nzima, DVD, au BD. yote Yaliyomo ndani ya disc yanaweza kuwakilishwa kikamilifu katika faili moja la ISO.
  Hapa inamaana unaikopi CD,DVD au BD vile vile ilivyo bila kubadilika chochote na kuhifadhi katika pc,external Hdd au flash yako kwaajili ya kutoa nakala baadaye utakapohitaji.Hii ni njia rahisi zaidi ya kukopy windows.
   
Loading...