Vodacom big bang!

rickymj

Senior Member
Apr 19, 2012
125
10
sorry guys,av cleared this 4 privacy reasons,anyways u can just PM and i will help ya provided ur a good guy
NICE TIME:coffee:
 
Good idea mkuu ila dakika chache zijazo huenda isiwe na maana sana.

Naamini kuna watu kibao wameishapita hapa na tayari wameishapata offer hii. Kama vipi futa hii kitu kama kweli una nia nzuri ya kutusaidia, maana muda huu Voda watakuwa wanafanya mbinu za kuziba uchochoro huu.
 
mia kaka ila umeishajarbu?????
 
Back
Top Bottom