wapenzi wa nokia tochi pitia hapa uone successor zake

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,716
39,803
mtakumbuka nokia ya mwisho ya tochi tuliekewa redio atleast na sisi masikini tukawa tunapita barabarani tumevaa earphone tunaskiliza redio kwenye visimu vyetu vya tochi nokia 103
nokia-103.jpg

Nokia kuna simu zimetangazwa mpya ni nokia 111, 112 na 113
nokia-113.jpg

Sjajua kama na simu hizi zitakua na tochi au la ila ni successor ya simu za tochi na bei ni dola 40 around kama tsh 65,000 na itatoka kati ya mwez huu wa 6 hadi wa 9 na ina feature kama hizi

display
Katakua na kakioo kadogo ka ukubwa wa 128x160 kitakuwa na uwezo wa kudownload game pia ni coloured screen

camera na video
Camera itakuwepo na video utachukua

miziki na memory
itachukua memory card ya 32gb kujaza miziki ya kutosha

battery
Uspozima wala kutumia simu itakaa mwezi bila kuzma charge. Ukiongea ni masaa 7 bila kuzima

Tujiandae wale wa vitochi

Internet pia ipo 2g
 
hii kitu naikubali saaana nacharge mara moja kwa wiki, umeme ukikatika mi natumia haka ka touch kangu viva nokia touch
 
thnx kwa newz chief. kwangu tatizo la nokia ni moja 2. mfano utakuta vi2 ilivyonavyo nokia ya toch toleo la kwanza ndo vitakuwepo hivyohivyo ktk successor wake kama ni tofaut kidogo sana
 
hizi simu hazina operating system ya kueleweka lakini nokia wanajitahidi kwenye updates zao labda wewe tu huko aware
 
cjakataa ndo mana nikasema kama kuna changez ni kidogo sana ukianzia kweny mpangilio wa menu, display n.k
 
mtakumbuka nokia ya mwisho ya tochi tuliekewa redio atleast na sisi masikini tukawa tunapita barabarani tumevaa earphone tunaskiliza redio kwenye visimu vyetu vya tochi nokia 103
nokia-103.jpg

Nokia kuna simu zimetangazwa mpya ni nokia 111, 112 na 113
nokia-113.jpg

Sjajua kama na simu hizi zitakua na tochi au la ila ni successor ya simu za tochi na bei ni dola 40 around kama tsh 65,000 na itatoka kati ya mwez huu wa 6 hadi wa 9 na ina feature kama hizi

display
Katakua na kakioo kadogo ka ukubwa wa 128x160 kitakuwa na uwezo wa kudownload game pia ni coloured screen

camera na video
Camera itakuwepo na video utachukua

miziki na memory
itachukua memory card ya 32gb kujaza miziki ya kutosha

battery
Uspozima wala kutumia simu itakaa mwezi bila kuzma charge. Ukiongea ni masaa 7 bila kuzima

Tujiandae wale wa vitochi

Internet pia ipo 2g
Mkuu hiyo mpya mwezi wa ngapi?
 
Back
Top Bottom