ukiona ume ambia LOCKED ujue haikubali sim card yeyote ile isipokuwa ya ule mtandao ulie ilock, ukiona unlocked ujue ilikuwa locked alafu ikafunguliwa kukubali mitandao mingine,
ukiona imeandikwa sim free ujue sio locked kwanzia mwanzo(tangu simu itoke kiwandani)
na mara nyingi simu zinazo dhibiti mitandao mingini zina kuwa za offer,utakuta sim ya locked ni zaidi asilimia 50 rahisi kuliko ilie fungwa,lkn kuna inategemeana na offer za nyewe.
mfano unaweza ukanunua sim AT&T kwa dola mia mara ya kwanza na ukawa unalipa dola labda 10 kila mwezi kwa mwaka mzima.na ukawa unapewa vifurushi vya internet,msg,na dakika za bure kila mwezi.mwisho wa siku ukawa umenunua simu na offer za kibao kwa bei yakuridgisha kwa mteja.
lkn mambo haya bado siku yaona tz.

Yapo si ndo post paid? Toka 2007 yapo.
na mara nyingi simu zinazo dhibiti mitandao mingini zina kuwa za offer,utakuta sim ya locked ni zaidi asilimia 50 rahisi kuliko ilie fungwa,lkn kuna inategemeana na offer za nyewe.
Nami nafuatilia thread hii ili nijue vzr tafadhali wakuu njooni twawasubiri.
nadhani hapa ulimaanisha .... kuliko zilizofunguliwa... au?
Kwa hiyo nikinunua online simu au ipad ya Verizon au AT&T, kwa ajili ya kutumia hapa Tanzania itakuwaje?
Nimemwona mtu ana simu aina ya Blackberry ya Verizon na anaitumia hapa tz! Sasa sijui imekuwaje hapo
kuta hiyo sim ilikuwa locked kisha ikafunguliwa.mafundi sim wengi wanaweza lkn pesa haiwi chini ya 50000
Kwa hiyo bora kununua uliyo unlocked!