wana jf ina maana hii link ya lile game la kumvua mwanamke nguo bado haija patikana humu jf ahhhh aacheni utani bana hebu tupieni hapa hiyo link au jina ya hilo game tujaribu ku google bana
Ishapatikana na watu tunakipiga kila siku online,
www.playok.com alafu click kwa draught.
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
mkuu hapo playok nimeingia na dimekwenda kwa draught lakini naona inakuja mambo ya username je inakuaje maelezo kidogo mkuu
wana jf ina maana hii link ya lile game la kumvua mwanamke nguo bado haija patikana humu jf ahhhh aacheni utani bana hebu tupieni hapa hiyo link au jina ya hilo game tujaribu ku google bana