Tumia internet bila kikomo kwa Tsh 300

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
406
kwa wale wanaotumia voda kuanzia saa 6usiku - 1asubuhi kwa Tsh 300. Kujiunga piga *300reli
 
Sasa unasema ni bila kikomo wakati ina time limits ie saa 6-1 asbh? au bila kikomo inamaanisha nini?
 
Wote waongo nashauri msijaribu mm nilishaliwa natumia BlackBerry na haina kikomo
Wangesema ni kwa simu gani na MB ngapi
 
Sasa unasema ni bila kikomo wakati ina time limits ie saa 6-1 asbh? au bila kikomo inamaanisha nini?

labda ana maana ya volume unlimited. MB utazopata ndani ya muda huo. the same kama ile ya zantel unlimited kwa siku 3. ni time limited (3 days only) lakini free MBz.
ni nzuri kwa kudownload, weka mamovie yako kwenye IDm kesho utayakuta yamekuwa downloaded yote.
ila saa sita usiku hapana. hiyo ni for watchmen
 
kwa wale wanaotumia voda kuanzia saa 6usiku - 1asubuhi kwa Tsh 300. Kujiunga piga *300reli
Wizi tuu! Lipeni kodi mnayostahili kulipa, nchi haiwezi kuendeshwa kwa kodi ya pombe tu na sigara.
 
kwa wale wanaotumia voda kuanzia saa 6usiku - 1asubuhi kwa Tsh 300. Kujiunga piga *300reli

Hebu elezea fresh!! Unajiunga usiku huo huo au la, maana nimepiga *300# nakupata ujumbe unao sema"ERROR IN CONNECTION OR INVALID MI CODE"?? na je wale tulio na bundle za mwezi haiathiri kitu???
 
inagoma, mi mwenyewe wamenitumia sms wananmbia ongea bila kikomo, tuma sms na hiyo internet lakini nikipiga napata error...au ni hadi saa 6?
 
dah vijana mna hasira kwani mmelazimishwa kuunga? Hicho kitu ni optional ukitaka tumia usipotaka acha. Haukatwi kwenye mshahara ni uamuzi wako.

Mimi nimeunga mbona imekataa? Kuna alojaribu ikakubali? Tupeni feedback
 
FeedBack

Ukiunga inakubali. (Nimejiunga jana jioni Just for testing)

Speed ni yaukweli not limited. Tazama ScreenShot (leo at 04:58am)
Capture2.PNG

Na kwa Parallel Download
Capture3.PNG

Modem ninayootumia ni E173 (7.2Mb/s)​
 
Back
Top Bottom