TBC LIVE: Tekinolojia mpya ya kupata laptop au simu yako iliyoibwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC LIVE: Tekinolojia mpya ya kupata laptop au simu yako iliyoibwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Jun 21, 2012.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wakuu, kuna jamaa wako live sasa hivi tbc, wanaelezea hii technology. hebu tupieni macho huenda mkapata mawili matatu. Mliokiona kipindi hiki tangu mwanzo hebu tuelewesheni zaidi.

  Mnaofahamu hii technology hebu tudadavulieni ikiwa ni pamoja na links!!
   
 2. S

  Soki JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Je, kuna mwana JF ameshajiunga na hii huduma?
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  huyo jamaa ni tapeli namkumbuka alikuja na ile dawa jina nimelisahau kwaajili ya meno kipindi flani saiv amekuja na hiyo kitu
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mbona hiyo ipo siku nyingi tu tena bure mimi nilivyowaona nilidhani wana kitu kipya kumbe ni hiyo.Hizo software zinapatikana bure kwa wenye simu za nokia nenda kwenye OVI STORE na samusung nenda PLAY STORE wewe search PHONE TRACKER au ANTI THEFT au PHONE LOST utazipata nyingi bure na nyingine zinauzwa na mimi mwenyewe nimekwishazitumia ni nzuri sana kwa simu zenye kamera ya mbele kwa kutumia hizo software inaweza hadi kumpiga picha mwizi wako na kuituma picha yake kwenye email yako kadri utakavyokua umeicomand.
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Technologia ya ukweli na ya Uhakika itaanza kazi mwaka wa kesho TCRA ndo wapo katika mchakato wake. Achana na hizi nyingine ambazo ukiformat au kureset device una uwezo wa kuipata tena.
   
 6. S

  Soki JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah! Yangu ina Ovi store, ngoja nifuatilie!
   
 7. S

  Soki JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yah! Alikuja na dawa za meno wakati wa Sabasaba!
   
 8. S

  Soki JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi ni Dr.!
   
 9. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ninachokifahamu ni ngumu sana kufanya hiyo kitu, ukizingatia kuna devices za kurepair IME numbers nowdays.... so hakuna kitu hapo kbsaa, afu ukiachilia hivyo hizo sms unazotumiwa ili zitumwe kwako ni lazima mtu aweke line yenye pesa kwenye simu,kinyume na hapo itamuonesha hizo sms zilizo fail kutumwa kuwa zimetumwa kwenda wapi. pia inalimit usage ya simu itakuwa hata wewe ukibali line tu ni shida tupu itarespond kuwa imeibiwa pia
   
 10. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280

  Namkumbuka sana huyu jamaa.
  Ile dawa yake ilikuwa inaitwa Dental Formula Power (DFP). Nashangaa kuona kaacha biashara ya mizizi kaingia katika softwares. Jamii iwe macho bakla hawajaingia mkenge
  Maajabu ya mwaka!
   
 11. S

  Salim Mhina Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman mi nnavyoona m2 tena mbongo mwenzetu anapojitahid kataka mambo kama haya ya technolojia nikumuunga mkono na kumpa ushaur ili aendelee kutoa na kuisaidia jamii.Hapo co maneno ya et kwamba alikuwa muuza dawa za meno.Mbona Carl Maxy alikuwa m2 wa kufeli kila mtihani wa kufuzu level lakini ametoa theory kibao na wa2 wanazi2mia ama kwa sabab ya ule msemo nabii hakubaliki kwao.Mpe sapot m2 huku unampa weekness zake.Tunashauriana!
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280

  Akamilishe kwanza kimoja,ki-take off ndipo aanze kingine. Asituache njiapanda kama alivyotuacha katika dawa za meno
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Software gani hyo?....semeni japo jina, ametengeza mwenyewe na inafanyaje kazi? ina tofauti gani na hizi tunazozikuta kwenye sumsung, iphone na stores zingne? AU NDY AMEKOPI NA KUPESTI!!!! Hamna kitu hapo:dance:
   
 14. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nami nilimuona from a to z. walibanwa na swali la mshumbusi wa mtwara - lilijibiwa jujuu. kitu kingine ni kua segment ya watumia simu za china ambazo ni nyingi hapa nchini wataikosa kufuatana na maelezo yao - hivyo kibiashara wenye stationeries na cafe hasa mikoani si busara kukimbilia u agent wa biashara hii. pia nafikiri kuna msemo wa for every action there is a reaction. kadhalika polisi yetu imekuwa na technolojia hii kitambo - nakumbuka mtu alifanya uhalifu mbeya akabadili sim lakini alishikwa tanga kilaini wakiwasiliana nae muda wote kwa simu yake ikiwa na simcard tofauti tofauti.

  nawasifu wamejipanga - website yao quite modest
   
 15. N

  Nyasiro Verified User

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  WANAKOSEA KUSEMA TEKNOLOJIA MPYA. Lakini nawapongeza ingawa uwezo wa hizo software ni wakawaida sana hauzidi sana ule wa mobile tracker za kweny samsung na cm nyingine. Lakini inatosha kwa wale wenye cm za bei
   
 16. S

  Soki JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tutapata mrejesho tuu watu wakianza kuzitumia kutoka kwao
   
Loading...