window | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

window

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ms mashaba, Jun 22, 2012.

 1. M

  Ms mashaba Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenye utaalamu naombeni maujanja. window 7 zipo za aina nyingi, je ipi ni bora kati ya professional Vs basic home?
   
 2. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Professional ni nzuri zaidi. Lkn Ultimate ndiyo bora kuliko zote

  Uzuri wa hizi inategemeana na wewe unataka kuitumia kwa nini. Kwa mtu ambaye siyo mjuzi, Home basic inatosha
   
 3. koo

  koo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vipi kuhusu tofauti ya window xp na hiyo 7 na ipi ninzuri kwa sisi tunaojifunza pia uzuri nikwavigezo vipi na vista ikoje pia ninzuri au kimeo?
   
 4. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @ Koo. Tumia na kujifunza window 7, utakuwa katika nafasi nzuli ya kutumia Window 8,ambayo kwa sasa inapatikana kama Window 8 RP. Window XP ina zaidi ya miaka 10 na ninzuli kwa PC za zamani ambazo hazikubali window 7 na kuhusu Vista sikushauri kabisa, Just go for window 7.
   
 5. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  vista kimeo mkuu
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Isitoshe win xp mwisho wake ni mwaka 2014. Microsoft wamesema hawatatoa msaada/support kwa watumiaji wa win xp ifikapo april 8, mwaka 2014. kwa hiyo ni vizuri ukaanza na win7, ukianza na home basic sio mbaya.
  Win vista itakusumbua.

  Fungua links hizi:
  http://www.microsoft.com/en-us/windows/endofsupport.aspx

  http://windows.microsoft.com/en-US/windows/help/end-support
   
 7. koo

  koo JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naweza kupata wapi hiyo wind 7 hasa professional pasipo gharama yoyote?
   
 8. tcoal9

  tcoal9 JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Official Windows 7 SP1 ISO Both Windows 7 Ultimate SP1 and Windows 7 Professional SP1

  Click Here

  Na Kama utapenda kujalibu windows 8 Release Preview. (Wameiachia 1st June 2012) Hii hapa.

  Click Here

  Windows 8 RP Product Key: TK8TP-9JN6P-7X7WW-RFFTV-B7QPF
   
Loading...