Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

HELLO naomba help jinsi ya kutumi simu yangu kama modern kwenye laptop yangu if possible,,,,,,,., nimefatia online but imekuwa ngumu kuelewa,.. itakuwa poa kama nitapata msaada,, by me.,.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau simu yangu nokia x2 imepata virus na kaanza kula file niki mdelete hatoki ni restore factor setting kagoma kutoka zaid anajizalisha nifanye nini
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Je, Ni uhaba wa wataalam au ndiyo mazoea ya kupenda vya bure na rushwa!! Tembelea website na blog za Bongo, ziwe za serikali, mashirika makubwa au za watu binafsi utashuhudia mwenyewe...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Duuh !! hawa jamaa wapo poa kwa hizi modem mpya Za huawei !! na sio ZTE wamechesha !! ila kwa hizi wapo poa !! mi naishi maeneo ya kibamba karibia na kibaha Ila speed ndo hiyo !!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aisee kuna mtu yoyote anajua wapi wanapo uza verbatim dl dvd's bongo? Nitafurahi sana nikiweza kuzipata hapa hapa dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
nimeenda jana ofisi za startimes arusha nkawaulizia kuhusu kupata local channels kama itv jamaa wamenambia kuanzia tar 20 mwezi huu chanel zote zitaonekana ktk king'amuzi.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Here at its mysterious, last-minute press event in Los Angeles, Microsoft just confirmed it will sell its own Microsoft-branded Windows 8 RT tablet under the Surface badge. Measuring just 9.3mm...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada km kuna fundi au msaada wa kitaalam kuhusu modem yangu aina ya Huawei E 1550 nikiiconect kwenye PC haionekani kwenye my computer japo inawasha taa ya kuwa na power...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I want 2 download games za PC and PSP as well !! Bt I need 2 knw all the procedures (A-Z) ... Help plz ..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba Msaada coz nna cable ya VGA to hdmi bt haioneshi picture y? Natumia samsang led tv ila nikiconnect haioneshi chochote tatizo ni nn?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaji msaada kwa wanaojua (technicians) nahitaji kuanzisha Website! ila sio ya e commerce lakini, ya watu wa profession yangu kujiunga na kudiscus inshu zetu, pia wanafunzi wa profesion, pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau msaada kwenye hii uc browser ya simu.ambayo ni varsion mpya mbona haionyeshi picha full screen kama ile ya 8.2?msaada kama kuna njia ya kuset.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa tablet Microsoft kaja nayo ya bei chee...kazi kwenuWhy Microsoft Surface could be the biggest shake-up in the tablet market since the arrival of the iPad - Yahoo! News UK
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Kuna hili somo nachukua online la computer, ni la introduction na lina html na java scripts, nakosa kampani ya kujadili nayo codes na zinanisumbua mno. Ntafurahi kama ntapata wataalamu watakao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari nilikuwa nailiza haya makampun Kama Yahoomail, gmail,hotmail,vodamail na mengine mengi jamii kama hayo huwa wanapa faida gani toka kwangu mie mteja wao? Nilikuwa nahitaji jua!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina nokia C3,imewekewa Opera mini kinachonitatiza nashindwa ku-updates kwasababu option yake iko FENTI(hainiruhusu ku-updates)je nawezaje kufanya hivyo wakuu.msaada
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo.Nimenunua modem ya VODACOM aina ya HUAWEI-K 3565.NIMEJARIBU KUIFLASH ILI ITUMIE LAIN ZOTE IMEKATAA KABISA.PIA NIMEJARIBU DC UNLOCKER IMEKATAA.JE NITUMIE NJIA GANI?ASANTEN SANA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye drivers z hp anisaidie tafadhali
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Kuna program nimeiona,ina uwezo wa kumuwezesha mtumiaji kufanya kazi ktk computer yoyote ile ambayo atakuwa ameinstall prgrm hiyo,kama kuna mtu anaweza kuielezea na kunipa muongozo wa namna ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi, habari zenu Nahitaji kufahamisha kuhusu vitu vinavyotumia umeme kwa matumizi makubwa zaidi, naishi katika nyumba ya kupanda hivyo tumeshindwa kupangiana kiwango kutokana cha fedha...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Back
Top Bottom