Natafuta kitabu cha sensa ya 2002

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,251
Wadau naomba kama mtu aliye na soft copy za kitabu cha sensa ya taifa animwagie hapa,pia kwa wale watafiti je hapa TZ tuna asilimia za madaraja ya watu(social class) kwa mfano ma A,AB,C1,C2,D na DE ni asilimia ngapi kwa kila mkoa na nchi nzima kama kuna mwenye hizo takwimu naomba msaada azimwage hapa jukwaani na mwisho digital map ya Tanzania yenye vijiji,mitaa,vitongoji,mitaa ,wilaya ,mikoa naweza kupata wapi?nimejaribu Takwimu waliyonayo haikidhi mahitaji kabisa.
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom