Kero yangu Jukwaa hili

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Nimejaribu kupitia baadhi ya mijadala na pia kupata uzoefu katika mada au maswali niulizayo humu.

Ila kunabaadhi ya watu wanazodoa badala ya kukuelimisha. Binafsi natumia jukwaa kujipatia elimu juu yamengi sana.

nimetumia www.simplemachines.org na hawa watu wanatoa msaada hata kwa yule aonekanaye mbumbumbu kabisa.

Nani alizaliwa anajua? Kila mtu anawakati wa kuanza na moja na kuendelea...

Ni vyema kumueleza mtu vizuri badala ya kutoa kashfa na dharau.

Kirohosafi
 
wachane hao *******....!!!
 
Nimejaribu kupitia baadhi ya mijadala na pia kupata uzoefu katika mada au maswali niulizayo humu.

Ila kunabaadhi ya watu wanazodoa badala ya kukuelimisha. Binafsi natumia jukwaa kujipatia elimu juu yamengi sana.

nimetumia Simple Machines Forum - Free & open source community software na hawa watu wanatoa msaada hata kwa yule aonekanaye mbumbumbu kabisa.

Nani alizaliwa anajua? Kila mtu anawakati wa kuanza na moja na kuendelea...

Ni vyema kumueleza mtu vizuri badala ya kutoa kashfa na dharau.

Kirohosafi

Da nimekuelewa vizuri sana Comrade tupo hapa kwa ajili ya kujifunza and we beliave kwamba humu wapo wasomi kama hujui au hutaki kutusaidia basi soma tu then skip
 
ok donn tumeskia lakini inabidi na wewe ujifunze kitu kimoja,

Katika forum kuna watu tunawaita "LEECHERS" hawa watu huwa wanatoa tu hawaingizi yani nkiambiwa nitoe mfano wa leecher humu jamii forums ni wewe

post ya kwanza unataka view ya website yako then zilizofatia mara ukataka domain ya .com bure, mara sjui .info so nikuulize swali wewe unataka usaidiwe je umemfaidisha nani hapa jamiiforum na elimu yako?

Always unakua selfish na vitu vyako na kutaka ugain wewe tu.
 
sana sana humu Gadget,kama ukionekana mgeni husaidiwi.

Newbies wengi humu wana mtindo kuna topic main wao wanaacha then wanafungua topic mpya yenye maudhui kama ile main matokeo yake watu wanakua bored then wanashindwa kujibu
 
Ukitaka kufaidi hili jukwaa ni kutulia na kujifunza. Mi nilipokuwa mgeni nilipitia thread zoooote atlst nione km ntapata majibu baadhi bila kuanzisha topic nikajifunza meeeeengi, then nikashea nivijuavyo then nikawafahamu magwiji wa hii seksheni. Wako helpful sana. Mwaka juzi nilitaka kununua domain nikatapeliwa ila nimenunua humuhumu kwa bei sawa na bure. Bwana donn instead of kulalama, ww tulia jifunze. Usijifanye mjuaji maana kuna vichwa balaa viko kimyaaaa
 
Yaani umejiunga juzi juzi tuu ushaanza kulalamika. Hata hujafunga mwezi mmoja, Je ukiwa Senior Member c JF nzima itajaa complain zako? ZOEA KAKA
 
hakuna popote utakapoishi usikiutane na watu wa staili hii...cha msingi ni kuwa matured stayed focusd kwenye ishu unayotaka kujifunza...
 
ok donn tumeskia lakini inabidi na wewe ujifunze kitu kimoja,

Katika forum kuna watu tunawaita "LEECHERS" hawa watu huwa wanatoa tu hawaingizi yani nkiambiwa nitoe mfano wa leecher humu jamii forums ni wewe

post ya kwanza unataka view ya website yako then zilizofatia mara ukataka domain ya .com bure, mara sjui .info so nikuulize swali wewe unataka usaidiwe je umemfaidisha nani hapa jamiiforum na elimu yako?

Always unakua selfish na vitu vyako na kutaka ugain wewe tu.[/Q

jaribu kuperuzi ndugu, katika sehemu nilizoweza nimetoa misaada. Na katika sehemu nisizoweza nimekausha. Siwezi kupiga mtu jungu
 
Ukitaka kufaidi hili jukwaa ni kutulia na kujifunza. Mi nilipokuwa mgeni nilipitia thread zoooote atlst nione km ntapata majibu baadhi bila kuanzisha topic nikajifunza meeeeengi, then nikashea nivijuavyo then nikawafahamu magwiji wa hii seksheni. Wako helpful sana. Mwaka juzi nilitaka kununua domain nikatapeliwa ila nimenunua humuhumu kwa bei sawa na bure. Bwana donn instead of kulalama, ww tulia jifunze. Usijifanye mjuaji maana kuna vichwa balaa viko kimyaaaa

sijifanyi mjuaji, ndiomaana nimesema najifunza JF. Naamini kwa kuuliza tu ninagain kitu. Jaribu kucheki hapa http://forum.pkrack.tk na uone.
 
wapo wengi ambao wamenichallenge kielimu kwa kutoa point na mwisho wa siku nikakubali kushindwa. Mfano mzuri ni Chief Mkwawa na Mtotosix. Ila kuna wale wasiotoa msaada wala wazo wanabaki kuacha jungu kwenye thread yamtu tu... Hao ni kikwazo sana
 
una google ukishndwa ndo unaomba msaada! Hapa 2nasukumana tuweze kufika sio kufundshana namna ya kutembea. nwys nyc topic nimekupata
 
Tatizo kubwa watu hawajui hata jinsi ya kuuliza swali "PC YANGU HAIFANYI KAZI NIFANYEJE??" hajatuambia kitu chochote kuhusu tatizo lenyewe ni nini au PC yake iko vipi, hatufanyi miujiza hapa ni diagnostics kutokana na uzoefu na Google. Na ukiwasaidia wanatokomea, haujui hata kama solution imefanya kazi.

Kitu kingine kinachoudhi ni kuomba msaada kabla hata ya kuweka effort yoyote, "NAHITAJI DRIVER ZA HP" wakati ukiGoogle Hp drivers haukosi jibu kwenye first page ya Google, au mbaya zaidi kuomba msaada wa code wakati hata line moja hajajaribu kuandika kuona wapi amegoma.
 
ok donn tumeskia lakini inabidi na wewe ujifunze kitu kimoja,

katika forum kuna watu tunawaita "leechers" hawa watu huwa wanatoa tu hawaingizi yani nkiambiwa nitoe mfano wa leecher humu jamii forums ni wewe

post ya kwanza unataka view ya website yako then zilizofatia mara ukataka domain ya .com bure, mara sjui .info so nikuulize swali wewe unataka usaidiwe je umemfaidisha nani hapa jamiiforum na elimu yako?

Always unakua selfish na vitu vyako na kutaka ugain wewe tu.

tatizo kubwa watu hawajui hata jinsi ya kuuliza swali "pc yangu haifanyi kazi nifanyeje??" hajatuambia kitu chochote kuhusu tatizo lenyewe ni nini au pc yake iko vipi, hatufanyi miujiza hapa ni diagnostics kutokana na uzoefu na google. Na ukiwasaidia wanatokomea, haujui hata kama solution imefanya kazi.

Kitu kingine kinachoudhi ni kuomba msaada kabla hata ya kuweka effort yoyote, "nahitaji driver za hp" wakati ukigoogle hp drivers haukosi jibu kwenye first page ya google, au mbaya zaidi kuomba msaada wa code wakati hata line moja hajajaribu kuandika kuona wapi amegoma.

huu ndio ukweli...!!
 
Back
Top Bottom