I-phone settings! please help! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I-phone settings! please help!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rugas, Jun 26, 2012.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  I have got a new i-phone 4s,
  But I can't do much with it more than phone calls and sms!
  I have tried some functions like internet---is too slow!
  Camera--photo quality poor!
  Sync with my computer is also not possible!

  I think the problem may be is settings or the phone is not original from apple!

  Wataalam--I need your help!
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Kwanza pole sana kutokana na maelezo yako yawezekana hiyo ni Mchina maana amezi-fake Iphone 4S nyingi sana kuna mwarabu kafungwa hapa Israel kwa kuziingiza simu aina ya Iphone 4S ambazo ni fake.
  1. Ili ujue Iphone 4S yako ni fake unga kwenye computer yako yenye Itune itune haitaitambua
  2. Applications zake nyingi ni games tu sinu yenyewe ni nyepesi na bei yake FOLOLO.
  3. Iphone 4S haina torch kama ina torch jua ni Fake.
  4. Haina CYDIA
  Mengine wataalamu watakujukisha zaidi
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  True hata mimi nimeziona iPhone 4s, pale mwenge, tena zimeandikwa apple, jamaa wanasema ni mchina. Original ukiingiza ktk i tunes inaonekana
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  haina torch lakini ina flash ambayo unaweza kutumia kama torchcydia ni app ya kujailbreak iphones na kuwepo kwake ndo kithibitsho kabisa kwamba hiyo iphone ni OG
   
 5. maju

  maju Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iphone 4s in app ya siri?
   
 6. m

  mfocbsjut JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nenda kwenye settings then general, then about, angalia vizuri utaona sehemu pameandikwa serial number. Andika hiyo serial number kisha nenda kwenye customer support kwenye website ya apple, kuna sehemu ya kuverify serial number. Kama simu yako ni original, itakuwa identified by model yake, kama sio haitakuwa recognized kabisa!
   
 7. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu nashukuru sana kwa Kunifungua Macho! Dalili zote zinaonyesha nimeuziwa Fake!Maana nimejaribu kuiweka kwenye itune haionekani!, pia applications zake zaidi ya nusu ni game,mpaka sasa imekuwa simu ya wanangu kuchezea! Ina touch. Hiyo CYDIA sijajua ni nini lakini dalili za awali zinaonyesha ni fake.

  Nashukuru kwa maelezo mazuri!
   
 8. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu kwa msaada! NGOJA NIJARIBU NITAKUPA JIBU! THANKS
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Dah mkuu rugas pole sana iyo itakuwa feki kama umeunganusha kwen comp halafu hai sync na itunes baas tena. Ulinunua bei gan?
   
 10. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole, umelizwa sh ngapi
   
 11. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  pole mkuu,,
   
 12. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Poleee,hiyo kwa maelezo yeny ni fake
   
 13. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Umenifanya nicheke hapo uliposema Hujajua CYDIA ni kitu gani. Kweli umeuziwa fake.
   
Loading...