JARIBU HII SOFTWARE VODA DASHBOARDnaombeni kwa anayejua namna ya kudebrand dashboard ya modem(vodafone k3565-z),ofkoz modem iko onlocked shida ni kukonect internet kwa kutumia line tofauti na vodacom,niki2mia dialup conection inakubali kwa line yoyote natanguliza shukrani
it works but plzz how to install the files in my modem directlydownload joinair
Mkuu inawezekana kudebrand hyo kitu kwa kufuta iso ya voda na kuweka unlocked iso kama join air tatizo ni moja unatakiwa ufanye backup ya vodafone mobile broad band driver za modem yako kila utakapokuwa unakwenda kwenye pc nyingine bila hivyo haiwezi kufanya kazi kwa ushauri wangu weka memory card kwenye hiyo modem yako ambayo itakuwa inabeba dashboard ya zte join air.