Msaada kifaa cha ku distribute channels kutoka kwenye receiver kwenda tv nyingine kupitia uhf au vhf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kifaa cha ku distribute channels kutoka kwenye receiver kwenda tv nyingine kupitia uhf au vhf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kejof2, Jun 19, 2012.

 1. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,617
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Msaada kwa mtu anaekipata hiki kifaa na bei zake nitashukuru
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Kama ntakua nimekuelewa kifaa hicho kinaitwa AV Selector.
   
 3. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Hebu fafanua vizuri tukusaidie
   
 4. h120

  h120 JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,469
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  Nilivyomwelewa ni kifaa ambacho atatumia receiver au decoder yake kupitia hicho kifaa ku transmit signal za vhf au uhf ambazo anaweza ku zi search na kuangalia channel ya kwenye decoder kwa tv yoyote ya kawaida iliyopo karibu.
   
 5. h120

  h120 JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,469
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  Hivyo vifaa vinaitwa RF VIDEO MODULATOR
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  na bei yake inafikia kama sh. ngapi hivi...?
   
 7. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu 15.000
   
 8. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Modulator inauzwa sh 80 elfu hadi laki
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,854
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Huyu anaitaji kifaa ambacho kina chukua TV signals toka kwenye satellite receiver mpaka receiver Kumi au zaidi na kuzisambaza katika Gorofa au nyumba yenye TV zaidi ya Mbili na kila Mtu anachagua kuangalia stesheni atakayo toka kwenye moja ya sattelite receiver katika network hiyo. Aina nzuri ni TELEVES na mara ya mwisho nilinunua kwa laki na Nusu. Inauwezo wa kupeleka signal umbali wa Nusu Kilometer.Zipo mtaa wa Livingstone Kariakoo. Kuna duka zinapatikana
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,301
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nusu Km si hadi majirani wataitumia!
   
 11. kinja

  kinja Senior Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  safi sana
   
 12. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inakua ni wireless ama? Hana nnatv mbili nimeconect kwa cable mtu akibadili tu wote zinahama
   
Loading...