naomba msaada wakuu on my nokia500

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
Nimenunua simu nokia 500 na siku nilipo ingiza line yangu ya tigo nilikua nina chat na jamaa yangu mmoja hivi kwenye simu nyingine.. nikachomoa line kwenye hiyo simu na nikaiingiza kwenye nokia 500

Baada ya kuiingiza tu nikakuta kuna flashing sms sign at the top of the phone screen.. na baada ya kuvisit internet ili nipate japo solutions.. wakaniambia kua SIM CARD MEMORY IS FULL sasa nikawa najaribu kuitafuta ili niifree nimeshindwa.. nimefuta sms zote. namba zote zilizo kua kwenye sim card ila bado ile flashing sms sign inatokea

Wakuu naomba mnisaidie kama kuna anaejua tatizo na solutions please naomba msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom