Mic ya laptop yangu haifanyi kazi

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Habari za lep wakuu.

Ni kwamba computer yangu (laptop) inatatizo ambalo kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kulitafutia ufumbuzi lakini nimeshindwa.

Ninapokuwa katika internet kwa kutumia modem kuna wakati fulani huwa napigiwa simu kupitia namba ya line ya hii modem yangu. Modem yangu ni ya airtel, na computer yangu ni compaq. Tatizo ninalopata katika mazingira ya aina hii ni kwamba ninapo pokea simu na kuongea mimi huwa nasikia sauti ya mtu anaenipigia lakini mimi ninapongea yeye hanisikii. Nina uhakika kwamba MIC sio mbovu kwa sababu tangu nilipo nunua computer hii ilikuwa na tatizo hili, na niliinunua dukani (Thailand) ikiwa mpya.

Naomba msaada wenu wana jamii kama kuna mtu anaejua jinsi ya kutatua tatizo hili anipe maelekezo.
 
simple, ingia google na utafute mic driver za hyo computer yako, u specify computer gani, i.e mic drivers for sony VAIO, then ukipata i download then fanyia installation then jaribu tena kuwasiliana na mtu afu ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom