Airtel huawei e173 modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel huawei e173 modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BobKinguti, Jun 27, 2012.

 1. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  -Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada, nime-install huawei e173(airtel) kwenye pc yangu(window 7 ultimate) vizuri kabisa na modem inakua detected, dashboard ya airtel vilevile inaisoma modem na network inakamata vizuri kabisa. Niki connect to the internet, dashboard inakubali kuconnect lakini chini ya pc kulia pembeni ukiangalia network and sharing centre, inasenma NO INTERNET ACCESS, na kweli ukijaribu kubrowse hakuna page yoyote inayofunguka.

  -Nimejaribu kuhaingaika kwa kila namna bado sijaelewa tatizo nini? Nimeweke line nyingine kwenye modem bado tatizo lipo pale pale. Tafadhali kwa mwenye kujua namna ya ku-solve tatizo hili anisaidie.
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  tatizo hilo limesha nikuta na lilikuwa ni la mtandao wenyewe network inakuwepo lakini inaandika no internet access jaribu ku move hiyo sehemu jaribu eneo jengine jibu utalipata
   
 3. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimekupata. Nitajaribu.
   
 4. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatimaye tatizo limeisha. Nadhani ilikua temporary error, kwakua sina nilichofanya zaidi ya kujaribu tena ku-connect then ikakubali. Shukrani wote waliotoa ushauri pamoja na wewe uliyetenga muda wa kusoma post hii.
   
Loading...