Nitafanyeje kujiunga na internet kwenye simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitafanyeje kujiunga na internet kwenye simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Raiamwematz, Jun 27, 2012.

 1. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Habari, mimi natumia simu aina ya NOKIA, ambayo ina uwezo wa kuwa na internet. Sasa nafanyeje kujiunga na mtandao?? natumia laini ya tigo. Naombeni kwa anayefahamu anaisaidie kwa hili.

  Asanteni
   
 2. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  weka laini ya voda kisha nenda kwenye sms tuma neno kwa mfano (Internet nokia n70) kwenda namba 15300,hiyo setting utatumia kufungulia line ya tigo
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,278
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  MMH INAKUBALI HII KITU ngosha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. N

  Nyasiro Verified User

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nenda kwenye Settings ----> Connectivity----->Data Accounts** Ila sina hakika kama ni Data Accounts then weka hizi configuration.

  Tumia hizi settings:

  IP Address 10.168.20.80
  Port: 9201
   
 5. A

  Akida kaka Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kuongezea ;
  kwenye APN. .. weka "tigowap" ..
   
 6. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  hii haiwezekani labda utoe somo zaidi seting zinatofautiana bro
   
Loading...