jinsi ya kurudisha classic Start button kwenye windows 8

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Ukiangalia windows 8 by default haina start button, hii inafanya iwe ngumu kufanya quick access ya programs. Njia rahisi at least kwa sasa ni kutumia small application inaitwa START8 Hii utakapoirun itarudisha classic start button pia inaondoa metro style. Inakuruhusu kubadili muonekano wa start button kwa kuright click kwny start button kisha pick different start image....
 
mimi nilijaribu kuinstall windows8 preview nikashindwa..keys ziligoma so sikuweza kuendelea kama inavyokuwa kwenye other versions za windows kuwa hata kama huna keys unaweza ukatumia kama trial kwa mwezi..naomba unisaide keys au kama unalink inayoelekeza jinsi ya kuinstall windows8 unipe
 
hizo key huwa zinapatikana kwenye web yao ulikodownloadia
 
Hapa nna keys ambazo nimetumia na jana nimeactivate imekubali ngoja nikupe
 
Jaribu hii japo sina uhakika kama itakubali kwenye version yako

TK8TP-9JN6P-7X7WW-RFFTV-B7QPF
 
nashukuru sana Mtotosix.
Sasa ndo nimemaliza kujazajaza hizi information zao..ukiacha hata moja process haiendelei mpaka zote ziwe umejaza..ngoja niijaribu nione inakuwaje...
 
hebu jaribu kubonyeza batani ya windows(ipo kama bendera hivi) kwenye keyboard start batani itafunguka kwenye skrini ya kompyuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom