Window 7 is not genuine, Naomba msaada wa kuondoa hii message kwenye PC yangu

interlacs

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
213
193
Ndugu zangu nilinunua PC kwa wahindi miezi mi 3 iliyo pita. kila ninapo fungua inaniambia This window 7 is not Geuine please install a genuine one. Kila ninapo jaribu ku install inanipa option ya kununua kwa kupitia kwa wazungu. Je kuna uwezekano wa kuondoa hii message Bila ya kupitia kwa wazungu? naombeni msaada.
 
hebu jarbu hiki....
 
Attachments

  • Windows 7 Loader.rar
    1.1 MB · Views: 177
Yaani nimedownload the program you sent me baada ya kudownload Nimeifungua imekataa kufunguka kwenye Pc, kuna message inasema kwamba windows can not open this program try online. kwa hiyo nimejaribu ku download Bitzipper ili niweze kufungua the programm you gave me. Bitzipper imefail, sasa sijuwi kama laptop ina virus au la.
 
hata mimi nimejaribu kutumia hiyo 7 Loader, imegoma. Lkn nimepata program fulan kwa jamaa hapa inaitwa REMOVE MAT, ndo imefanikisha kuondoa hiyo message ya "this copy is not genuine", sina ujuzi nayo sana lkn jamaa anadai inavuta PC Registry, afu baadaye PC inarudi in Normal. TAFADHARI YEYOTE MWENYE IDEA NA HII PROGRAM ATUJUZE...!!
 
Back
Top Bottom