KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Wakuu habari za mida,naombeni msaada kwa wanaoifahamu vizuri hii lnb ya SINGLE SOLUTION inafanyaje kazi na sehemu zipi na ipi tofauti yake na hizi c-band lnbf za kawaida na ili ifanye kazi inatakiwa kwenye risiva antena cofiguration iweje pale kwenye LNB HIGH FREQUENCY na LNB LOW FREQUENCY naombeni mwongozo kwa waliokwishaifanyia installation.