Wana jf ninaomba msaada wa kujua ni stablizer ainagani niitumie katika vyombo vyangu vya muziki ili kuweza kuongeza power ya umeme! Ninatumia busta royal s 1200 zipo 2. Umeme unashuka mpaka 190v hivo inasababisha sound distotion na busta kuprotect nikiongeza sauti. Ningependelea kama nitapata used. Nawasilisha!