samsung galaxy pocket | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

samsung galaxy pocket

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emike, Jun 16, 2012.

 1. e

  emike JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wana jf heshima zenu,jana kwenye net nimeona uzinduzi wa samsung galaxy pocket hapa bongo,wadau wa tech walioitumia au kuiona mna maoni gani kuhusu perfomance yake, hasa kwenye internet, multimedia nk. Natanguliza shukrani
   
 2. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Kaukweli kama unapenda screen ndogo na kwa processor yake ian nguvu kuliko samsung galaxy mini..na kwasababu ni android kwa multimedia na internet itakua bomba tu hata usiofu..lakini kwa knowledge yangu kwa hiyo battery ya 1200 mAh charge aitakaa sana

   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Screen: 2.8"
  Camera: 2Mp
  CPU: 832MHz
  Battery: 1200mAh
  SIKUSHAURI UNUNUE HII SIMU LABDA KAMA UNAMNUNULIA MTU ZAWADI
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  mi mawazo yangu yapo tofauti kidogo hii simu si nzuri kama android nyengine kwa baadhi ya specific ni ndogo nimepitia website yao ntafanya analysis kidogo japo si mtaalam sana

  display
  Si nzuri ina 262k color (k ni 000) wakati simu za kawaida nyingi zina 16m color resolution ni 320x240

  music and sound
  Hapa ipo poa inakubali miziki ya aina nyingi kama mp3, aac na amr pia utaweza download player kama imemiss kitu

  network
  Hapa ipo poa ina 3g na edge na ina speed mpaka 3.6 mbps (450 kbps) hio ndo itakua speed ya mwisho

  camera
  Hapa naona haipo vizuri ina 2 megapixel simu ndogo ndogo sku hizi zina 3.2 i wonder why wameeka hivi

  battery hapa ipo poa kwa edge utaongea dakika 950 na ukiwa 3g dakika 360 vile vile standby (simu inawaka bila kutumiwa) ni masaa 520 kwa edge na 450 kwa 3g

  video player na video calling
  Sjaona option ya video calling na video player inakubali 3gp na sjaona mp4 ila kuhusu video player unaweza download player ikaplay codec nyengine

  Nakushauri kama huna matumizi makubwa ya simu labda unapenda mauzo na matumizi madogo tu nunua

  Ila kama una matumizi makubwa hii si simu inayokufaa
  [​IMG]
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi Chief kama nimtumiaji wa kawaida anunue lakini kama ni heavy user bora atafute mashine nyingine. Mfano kama anapenda games za hali ya juu hii simu haimfai. But all in all Hii ni Simu nzuri kwa matumizi ya Kitanzania.
   
Loading...