android,tablets,apple nk

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
samahani kwa usumbufu, naomba mnieleweshe nina simu aina ya bird w5000 touch screen, je cm hii iko upande gani ipad,iphone,android nk. nauliza hivyo kwa sababu nasikia os nyingi lkn sielewi chochote juu ya hizo na je nikitaka cm nzuri yenye os ya android ninunue ikoje?
 
Android - Sumsung galaxy, Idios, HTC
Hzo n miongon mwa simu zenye OS za android kwa version tofaut i.e Froyo, Gingerbread,Ice Cream Sandwich!Pata muda na jifunye kidogo through 'wikipedia' itaksaidia..
 
ios-iphone, ipads, ipods..
blackberry os- simu za blackberry only
symbian-nokia, (samsung na sony erricson chache)
windows mobile- simu kibao (ukitaka kujua simu ya windows angalia keys zake. kila simu ya wm ina button tatu: ya windows, back na search)
android- simu kibao (zina button ya search, settings, home na backgle kwa back cover , zina nembo ya google na/au logo ya android)

kwa haraka haraka nafikiri simu yako sio smartphone (yaani haina OS ya simu) na inatumia tu java
**leh
 
samahani kwa usumbufu, naomba mnieleweshe nina simu aina ya bird w5000 touch screen, je cm hii iko upande gani ipad,iphone,android nk. nauliza hivyo kwa sababu nasikia os nyingi lkn sielewi chochote juu ya hizo na je nikitaka cm nzuri yenye os ya android ninunue ikoje?
Mbona hii yako bird w5000 inatunia Android 2.1 OS,unataka nini tena..
 
Mchina!
Hizo simu za chinese substandard hazina ishu kaisaaa, ni bora ununue brand ya kueleweka hata kama ni kwa bei juu kidogo, unapata kitu unachoilipia!

bird.jpg
 
Mchina!
Hizo simu za chinese substandard hazina ishu kaisaaa, ni bora ununue brand ya kueleweka hata kama ni kwa bei juu kidogo, unapata kitu unachoilipia!

View attachment 56434

nashukuru sana kaka tena cm yenyewe ndo hiyo hiyo, sasa kwa uzoefu wako nichukue ipi ikiwezekana niambatanishie na picha
 
mara nyingi huwa nakutana na neno brand hiki ni nini pia?


Ngoja kwanza, ina maana hauelewi maana ya "brand" au mimi ndiyo sijakuelewa?....acha masihara mkuu!
Brand inaweza kuwa trade name, au jina utambulisho la bidhaa flan, mfano DELL is a brand name, iPad, iPhone, Colgate ni brand ya dawa ya meno, IKEA ni brand ya furniture, NOKIA ni brand flani ya simu!

Kuhusu smartphone ya kununua inayegemea na uwezo na kiasi cha fedha ulichotenga kwa ajili ya kununua, na wewe unapendelea simu zenye os ya namna gani, symbian au IOS au android; skushuri uende upande wa chinese substandar bana.

Kama pesa yako si nyingi san jaribu kuangalia series ya Samsung Galaxy za miaka ya nyuma kidogo, pia unaweza kucheki HTC na NOKIA, bei zao si juu sana kama iPhone; jappo pia unaweza kupata iPhone 3gs used kwa around 3.5K! Kama unataka kuona imeges za hizo bidhaa jaribu kugoogle kwa kutumia brand name yoyote unayotaka-ongeza na neno "image", au unaweza kuspecify type ya content unazosearch ukachagua picha!

Kila la heri Mkuu!
 
nashukuru sana kaka ningependa type ambayo unahisi ni nzuri na isiyozidi sh laki tano yenye os isiyo ya kusumbua, shukrani kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom