Help in iphone please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help in iphone please

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bratherkaka, Jun 17, 2012.

 1. Bratherkaka

  Bratherkaka Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  NAOMBA msaada wakuta line., !! kama nitaweza kufanya at home plz!..,,. bila kwenda kwa fundi.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Haujaeleweka, unaoma msaada wa kuta line? Kama ulimaanisha kukata mbona ni simple sana aisee, chukua mkasi ichonge mpaka ifikie size ya kuenea kwenye hicho kibati cha line cha iPhone, kuwa makini usiikate sehem ya contacts itakula kwako! Anza kwa kuipunguza taratibu kila upande kwa kufuata muundo wake, baadae unaweza kufanya resize za mwisho kwa kuisugua na nail cuter mpaka ifit!
   
 3. Bratherkaka

  Bratherkaka Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  thanx!!! man.,.,! ngoja nijaribu.,.,
   
Loading...