Wapi naweza pata free .com domain name?

Wapi naweza pata free .com domain name?

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Ninawebsite http://rahamix.tk ila nataka kubadili na kuifanya kuwa .com badala ya .tk
Kama unafahamu host wa bure tafadhali nisaidie link

*kama hufahamu naomba uanze kulazimisha kuwa hakuna.
 
Jipange kulipia mkuu..... .com hakuna ya bure
 
zabure zipo ndugu, japokuwa kunamasharti ya kuweka matangazo ya Host au pop ups.. Sasa hizo sipendi... Mpaka sasa nahost domain yangu bure ila nataka badili host tu
 
We noma umeuliza swali then umejijibu.
 
Hakuna cha bure, ila $10 kwa mwaka kweli imetushinda? Tufanye mambo ya ukweli jamani, hizi host na domain za bure hazijakaa professional kabisa.
 
Na hata .com za bure anazozisema ni ghali kuliko hio dola 10 maana unafanya survey zaidi ya 10 zenye thamani zaidi ya dola 20 kiasi kwamba angefanya website nyengine na kupata hizo dola 20 angepata domain 2
 
Mi naweza kukupatia .com domain ya bure ila utalazimika ku-host kwenye server zetu hapa Manchester UK. Nina-offer the cheapest hosting service. With one account unaweza kuweka webiste hata 20, una web space unlimited, unlimited email accounts, unlimited FTP accounts and many more. Website yangu hii hapa: webhosting.goodytechnology.co.uk. Wasiliana namimi kupitia goodytechnology.co.uk
 
Mimi pia bado ni tatizo kwangu, nahitaji domain tu ila jinsi ya kuipata ndo ishakuwa usumbufu, mi nataka kununua kabisa
 
kwa bongo ni TZS 25K ila mbele ni $10 kama google wakiwa host wako so chaguo ni lako
 
afu hiyo rahaforums looks very cheap, hebu iafanyie kazi kwanza ikiwa poa nakushauri ulipie domain na hosting, mi ntakuhost kwa 50,000 tu kwa mwezi.
 
Mi naweza kukupatia .com domain ya bure ila utalazimika ku-host kwenye server zetu hapa Manchester UK. Nina-offer the cheapest hosting service. With one account unaweza kuweka webiste hata 20, una web space unlimited, unlimited email accounts, unlimited FTP accounts and many more. Website yangu hii hapa: webhosting.goodytechnology.co.uk. Wasiliana namimi kupitia goodytechnology.co.uk

price?
 
unajua sijawa mkali, ila nimeshakutana na host's kibao wanaotoa domain kwa masharti kadhaa..
Mfano mzuri ni huyo Gem08.
Na kuhusu rahaforums kuonekana cheap ni theme tu. And dakika yeyote naweza shift toka kwa host wangu wa sasa
 
Hakuna cha bure, ila $10 kwa mwaka kweli imetushinda? Tufanye mambo ya ukweli jamani, hizi host na domain za bure hazijakaa professional kabisa.

ndugu... Tatizo nimeongea na mahost wa bongo wanataka 15000/= Kwa mwezi, sasa huu si ulanguzi? Na hiyo 10$ Si kubwa ila payment method ndo imenizingua. Na utapeli mbele umekuwa mwingi
 
Unajua exchange rate? Dola moja ni zaid ya buku jero huoni dola 10 imezidi 15,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom