kuangalia mpira kwenye simu

kuangalia mpira kwenye simu

Unaweza, mie ua natizama mechi kwenye simu kama niko mbali na sehemu yenye tv.

Kama leo niliangalia Germany vs Holland

Nadhani inafanya kazi ukiwa na 4G connection, ndio ninayotumia mimi na os android.

Inaweza kukubali kwa 3G sema itakua ina nasa nasa,sina huakika. Lakini kwa 4G hainasi naangalia game yote
 
Mkuu we uko mbele nn. Maana 4g tz hakuna
 
unaweza hata kwa 3g mbona mm naangaliaga tv mbalimbali via cm kwa network ya voda dar
 
kama umepitia karibuni dstv ya voda imerekebishwa supersport zimeongezeka sio highlight tu sema now sio tena bure unatakiwa ulipie kwa mwezi 15,000.

Zipo chanell za simu za mpira kama espn jaribu kutest kwa device yako just google it
 
kwani zamani ilikuwa bure? Mimi mbona walikuwa wananifyeka hela kama kawa!
 
mbona mi dstv mobile napata only three channels BLITZ,CHANNEL O, EURO NEWS""""je kuna mchakato naeza fanya niaziongeza hizi channels...natumia airtel internet
 
nina 3G nacheki chanel zaid ya 10 kupiti voda/dstv.
 
Jamani nina wasiwasi kuanzia sasa hapa TZ wako watakaoweza kupata mechi hizo kupitia mobile kwani jana 16 june station ya AGAPE ilitoa nafasi 1000 wa kwanza kwa watakaotuma msg kwao no 15678
Tusubiri
 
Back
Top Bottom