Naweaje kutrack cm yangu iliopotea?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweaje kutrack cm yangu iliopotea??

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kiherehere, Jun 14, 2012.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nimepoteza cm yangu ambayo kwa kifupi niliifanya kama portable drive yangu, ni Android MI-300 na nime i"SYNC" na google account am not sure kama inaweza kunisaidia kwa jinsi yeyote.

  Wadau nimejisalimisha jamvini nipewe muongozo
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ipo mtandao upi?
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tembelea hapa, www.datarecovery.co.tz au kol namba 0769199999 kwa maelezo zaidi jinc ya ku trac iyo cm yako mkuu
   
 4. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Thannks Chipukizi ila iko mtandao wa tigo
   
 5. w

  wanatamani JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 413
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  MH kama hukuifanyia tracking system, kwa ku insatall itakuwa ngumu,ila kwa faida ya wengine wenye samsung, kalibu aina zote , ingia kwenye setting, then security, chini kabisa utakuta kumeandikwa mobile tracker, ukifungua itakuomba password, samsung zote default password ni 00000000, vizuri uibadilishe, hapo utaombwa uingize namba za simu mbili za watu wako wa karibu. then save.
  nini kinatokea simu hiyo ikiibiwa mtu atakapo weka laini yake ile namba anayotumia inatuma sms automaticaly kwenye zile namba mbili hivyo inakuwa rahisi kujua nani anaitumia simu yako kwa wakati huo.zingatia hata wewe mwenyewe ukiweka kinyume na ile laini yako uliyosetia pia itakuwa inatuma sms kila inapow
  ashwa.
   
 6. j

  julyy Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hiiyangu ina andika network error
   
 7. S

  Soki JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  na nokia vipi!
   
Loading...