BlackBerry 8100 maandishi madogo ntayakuzaje?

BlackBerry 8100 maandishi madogo ntayakuzaje?

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,285
Wataalam wa simu za mkononi nisaidieni kukuza maneno yanayopatikana ktk mtandao kwa kutumia simu za BlackBerry ni madogo sana kwenye screen ya handset nimeweza na hata kuandika sms kuzikuza maandishi kuweka rangi, mistari hata Bold
Ngoma maandishi yaliyopo ktk JF madogo ntayakuzaje nisome bila miwani
 
Back
Top Bottom