Simu kujizima na kujiwasha hasa nokia

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
Habari wana jr.
Tumetokea tatizo la kujizima simu na kujiwasha yeshewe yaania kiasi kwamba una bidi ku swap laini.
Uzoefu unaonyesha kwa laini za tigo.
Nimetafakari kwa muda na kupata suluhisho lake.
Nini ufanye, hamisha laini ianyofanya hivyo kwenye simu nyengine na ufute sms zote zitakazo kuwemo kwenye laini yako, naurudishe laini kwenye simu yako inayo zima zima, hapo utakuwa ume solve.
Majaribio nimefanya kwenye laini zisizo pungua 20.
 
Back
Top Bottom