Kuna gari ninataka kuinunua ina engine imeandikwa D4, ila ni 3S, mafundi wananitaadharisha nisinunue, itanisumbua. Hawaweki wazi tatizo lake. Msaada kwa wanaoifahamu, je ina matatizo gani?
Habari wana jf hususan jukwaa hili la Science and Tech:
Ni kwamba window screen yangu ime-turn into black na inatoa hii message:
Windows 7
Build 7600
This copy of Windows is not genuine
Je hili...
Natafuta iDirect X3 Evolution modem kwa ajili ya KU-BAND VSAT Satellite internet connection.
Mwenye kuwa nayo au kujua mtu anayeweza kuwa nazo tafadhali nijulishe asap. Very very urgent
You...
Mimi kama admin:A S-key: wa NOLNIZ nawakaribisha wooote katika blog hiyo :welcome:
Ombi langu kwenu ni kwamba muwe huru kunitumia story yoyote ile yenye ukweli unayohitaji jamii iitambue na...
habari zenu wana jf, nina tatizo moja naomba mwenye utaalamu anisaidie. nina simu yangu nokia n96 niliinunua kitambo kidogo, sasa kila nikiwasha screen haiwaki zaidi ya kuonyesha mwanga mweupe tu...
Habarini wadau,
napenda sana kufanya project ya kufanya cartoon animation ,idea yangu ni kuchukua visa vyote ambavyo tunavifahamu kuanzia tukiwa watoto na kufanya cartoon animation...
Shalom. Juzi umeme umezimika mara mbili tatu Desk Top ikiwa kwenye umeme. Kuanzia hapo mashine imekataa kuwaka. Nikibonyeza kwenye power button inawaka rangi ya orange badala ya kijani iliyokuwa...
Apple Wins a User-Interface Patent That Smartphone Copycats Should Fear http://t.co/nrg0sP4c .haya sasa Android muache kuiga iga ovyo innovation za watu
Source...
Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo
***Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity...
Habari wana JF,
Computer yangu ina window XP tangu jana nikiwasha inaniletea massage Stop: c0000218 {Registry File Failure} The registry cannot load the hive (file)...
Salaam wakuu. juzi nilikua bored nakucheza cd zangu za psp nikaona nifanye maujanja ya kuhack, its possible. well ni rahisi sana na inasaidia unakua unadownload iso files nakurun directly kweny...
najaribu kuinstall joomla v.2 katika 1st page napo choose language na kuclick next ina load kwamudamrefu without any result. anybody plz help me
natumia wamp v 2.3, php v 5.4, mysql v 5.5
Habari wana jamvi.
Hapa nilipo ninahitaji msaada wa haraka wa mambo 2
1. Namna ya ku-unistall completely IDM from my computer kwa sababu mda wake wa kutumika umeisha. Nimejaribu kufanya...
public class FishTankVolume
{
public static void main(String[] args)
{
int width = Integer.parseInt(args[2]);
int depth = Integer.parseInt(args[4]);
int height =...
Niko na printer ambayo setup cd yake ilipotea hivyo naomba msaada wa jinsi gani nitaipata hata kudownload
printer name: Epson
aina ya printer ni ME office 560w
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.