Msaada kwenye tuta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, Jul 9, 2012.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana jamvi.

  Hapa nilipo ninahitaji msaada wa haraka wa mambo 2

  1. Namna ya ku-unistall completely IDM from my computer kwa sababu mda wake wa kutumika umeisha. Nimejaribu kufanya un-installation ya kawaida kwa kuanza kwenye control panel mpaka kwenye ku-unistall nimeshidwa kuiondoa completely. Hivyo hapa nahitaji msaada wa maelekezo ya jinsi ya kuiondoa kabisa toka kwenye computer yangu.

  2. Na la mwisho nahitaji IDM ambayo haitanisumbua baadae kama hii niliyo nayo sasa hivi.

  Naamini kwamba hapa nitapata suluhisho.

  :yawn:
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Tafuta old post ishawekwa mara nyingi na alternative zake za ku unlock
   
 3. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa
  Ila kama yeyote atakaye kuwa na link naomba aniwekee hapa.
   
 4. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa
  Ila kama yeyote atakaye kuwa na link naomba aniwekee hapa.
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hujaeleza inakataa ku uninstall kvp.
  check hii link IDM CRACKED
   
 6. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sawaaa.
  Kama nilivyoeleza hapo awali nili-unistall kawaida baada ya hapo nikadownload upya. Tatizo linakuja nikitaka kuinstall hii program(IDM) mpya inaleta some errors.

  Kwahiyo hapo ndo tatizo lilipo, msaada tafadhali.
   
 7. leh

  leh JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  most of the times uki uninstall program, huwa haitoki yote. ina acha settings na plug-ins ili next time ukitaka kuirudisha usipate shida. pia kuna programs zingine kama anti-virus ambazo zina acha registry files (registry files ni database ya windows ambayo ina store configuration settings and options za software na hardware). hiizi registry files sometimes huzuia kurudishia an uninstalled program coz windows hufikiri ile program bado ipo. kukimbiana na hii tatizo, inabidi udelete registry file za concerned program.
  registry files ni complictated na nyingi, na kama we sio advanced programmer wa windows (advanced hata zaidi ya mafundi wengi hapa bongo) sio vizuri kujifutia .reg files coz unaweza corrupt windows yako. luckily kuna programs ambazo zinakufanyia hii kazi, best example ni ccleaner. ushauri wangu ni uinstall hiyo ccleaner uiache ikusafishie windows. baada ya hapo jaribu kureinstall idm tena
   
 8. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sawa mkuu nitarudi baadae baada ya hili zoezi
   
 9. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu niliahidi nitarudi.
  Nimeweza kufanya registry cleanup pamoja na kufanya Ccleaner. zote zimekubali na nimeinstall upya registered IDM toka kwa jamaa mmoja anaitwa KHU..... sikumbuki vizuri jina kuna mwana alitupia link hapa ikawa ndo mpango mzima
   
Loading...