Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

uwepo wa google unawapa recovery ya fast Motorola officially announces the Atrix HD LTE 1. Android 4.0 2. 8MP primary(1080p) and 1.3MP secondary 3. 1.5GHz dual core processor 4. 4.5-inch...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Wataalamu hebu nipeni maujuzi,nimenunua Blackberry bold 9900 kuna mtu kaniambia kuwa ninaweza nikaifanyia settings ambapo mtu aki iba ninaweza kuipata pale alipo,hii inakuwaje,mwenye kufahamu ani...
0 Reactions
4 Replies
913 Views
wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios.. mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa. photo mail, celeste...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
inagharimu paundi milioni105. kwa maelezo zaidi ichek katika link hapo chini, na utoe maoni yako kama inakidhi bei ilotumika kuitengeneza ama la. Most Expensive Website at £105 Million Questioned...
0 Reactions
4 Replies
891 Views
Mwenye kufahamu aina na bei ya simu hizo anijuze.Tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Ndugu wa wana gadget Natafuta housing original ya nokia c6 nimezunguka kariakoo sijaridhika na baadhi ya housing nilizoziona mwnye kujua wapi original zinapatikana anisaidie kunifahamisha .
0 Reactions
2 Replies
922 Views
wakuu habari za kazi, Natumia simu aina ya IPHONE 3GS sasa kuna file la ICCID halipo na inaleta error ya NO SIM CARD and nadhan ilo Tatizo linatokana na ilo file la ICCID please kama kuna mtu yyte...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Internet speed is measured in kilobits per second (Kbps) or megabits per second (Mbps). Generally, higher speed services attract higher monthly rental fees. The bandwidth you can get is only...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wadau, Nina shida na EMS SQL Manager for MySQL.. Je, kuna link yoyote ambayo naweza ipata hiyo kitu for free? au kama kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia hiyo kitu itakuwa pouwa sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili, ningependa kuwaulizeni kati ya device hizo mbili ni ipi itamfaa mtu hasa mwanafunzi katika shughuli zake za shule/chuo bila usumbufu kwa kuzingatia utendaji kazi wa hzo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana Teknolojia, habarini za asubuhi jamani? kwa kupindi karibu wiki tatu sasa laptop yangu inashindwa kusoma/kuonyesha youtube video and streaming. Inaonjesha chenga tu kamma TV ambayo haina...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Katika mlolongo huu wa makala za IP, tutaanglia juu ya maana ya IP, kazi na utendaji kazi wa IP katika lugha rahisi na yenye maudhui ya Kitanzania. Huu ni muendelezo wa mafundisho ya Sub netting...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Google Maps imeleta maelekezo kwa watembea kwa miguu kwa nchi za Africa, feature inayopatikana nchi nyingine kwa siku nyingi sasa.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unataka kusikiliza bunge na wewe huna Radio basi ingia hapa ujipatie uhondo...... TuneIn Web Tuner
0 Reactions
4 Replies
1K Views
iPhone 4 2nd hand inauzwa, sn0wbreeze jaiLbroken, running iOS 5.1.1, baseband 01.59.00 condition nzuri. 500,000 (non-negotiabLe)
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Kwa watumiaji wa symbian, ingia waptanga.tk nenda sehemu ya symbian area. Kuna maelekezo ya kupata fonts zaidi ya 20 na kubadilisha mwenekano simu yako! Pili mwenye key za ku unlock LCJ Jukebox...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau nahitaji kujua mahali nitapata touch screen ya tigo ideos nimevunja screen model ni huawei S 7
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Wadau siku kadhaa sasa tangu nilipo upgrade software kwenye simu yangu, tatizo ni kwamba siwezi tena kudownload kitu kwenye app word. Inafunguka vizuri tu nikichagua kitu nidownload inaniletea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji simu aina ya Nokia c5..iwe used kidogo,bei unaweza kutaja humu au ni PM..maelezo mengine tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Back
Top Bottom