Computer ya Dell dimension E 520 inatoa message ya ajabu

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo
***Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity check/ Memory parity error
***The system has halted***

Mwenye kujua tatizo ni nini naomba msaada tafadhali nimekwama mwenzenu.
 
sasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
 
sasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
asante!..ila nimekuwekea link yenye maelezo ya kutosha juu ya hiyo B.S.O.D..na wengi imewasaidia..kama haikufai poa! Kila la kheri..
 
sasa kaka umechangia nini kama hujui si ukae tu kimya uwapishe wanaojua ustaarabu kitu cha bure
unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wengine
 
Last edited by a moderator:
hayo maneno yalikaa kimzahamzaha me sikujua kama ni link anyway ngoja nifanyie kazi then nitarudisha majibu
 
unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wengine
utoto tu akikua ataacha..
 
utoto tu akikua ataacha..

hata watoto wana akili ya kutosha kujua anapopewa msaada. miaka yangu yote sijaona ukosaji wa nidhamu kiasi hicho.
much respect kwako kwa ustaarabu uliotumia
:yo:
 
Computer ina boot mpaka mwisho lakini baada ya sekunde kadhaa screen inabadilika na kuwa ya blue ikiwa na message ifuatayo
***Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity check/ Memory parity error
***The system has halted***

Mwenye kujua tatizo ni nini naomba msaada tafadhali nimekwama mwenzenu.

Zima, disconnect power cable. Fungua cover ya CPU, jaribu kutoa memory card, kama iko moja then irudishe vizuri, kama ziko mbili toa zote then rudisha zote vizuri na jaribu kuwasha. Kama bado tatizo lipo then toa moja ukiacha moja na jaribu. Kama bado tatizo lipo then inabidi uwaone wataalam.akini most probably tatizo ni kwenye memory chips, inawezekana ilipata mtikisiko au basi tu imeharibika.
Natumaini hii itasaidia.
 
NIlishakubali makosa yangu kwa kutoelewa kama ile ilikuwa link, sasa sijui nini naomba msaada tena kabla ya ile blue screen
kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?
 
Mkuu nafikili u-check MEMORY (RAMS) kama zimekaa vizuri kwenye slot yake, au wenda ikawa parity check chip kwenye memory yenyewe imekuwa-punctured. Jaribu kuweka RAM nyingine uone utapata message gani.Goodluck.
 
Nashukuru kwa mchango wako hata mimi nlikuwa nawaza ku-replace RAM kwani iliyopo nimejaribu kuiweka vizuri kwenye slot zake zote 4 lakini bado blue screen haitoki.
 
unapewa msaada alafu unamtusi anayekusaidia? unajua kwamba humlipi na halipwi na mtu yeyote kukusaidia?? we ndo huna busara. sijui kwanini hata sijui nini anaendelea kukuelekeza, mi nimekosa tamaa ya kukusaidia, wasubiri wengine

Ukiangalia vizuri link aliyopewa haikai kama link na usipojua ni link hayo maneno hayana masaada wowote kwa swali alilouliza ingawa hata yeye alikimbilia matusi sana.
 
Nashukuru kwa mchango wako hata mimi nlikuwa nawaza ku-replace RAM kwani iliyopo nimejaribu kuiweka vizuri kwenye slot zake zote 4 lakini bado blue screen haitoki.

ingekuwa ni ram mashine haiwezi waka na kuna mlio fulani ungeskia wakati unajaribu kuboot (two short beeps, one long beep) . kwa maelezo uliyotoa, naona shida itakuwa in one of two places: kwenye pci card zilizopo kwa pc yako au bios. unavyofunga pci cards zingine kama video card vile (sio zote) unahitaji kuziset pia ndani ya bios. so, umefunga pci card yeyote of late? ( network card, sound card, modem, extra port kama ya USB or serial, TV tuner cards, disk controllers au video card). jaribu kureset bios yako (usireset kama we sio mtaalamu wa kompyuta by the way) kama hamna pci card uliyofunga
 
hata watoto wana akili ya kutosha kujua anapopewa msaada. miaka yangu yote sijaona ukosaji wa nidhamu kiasi hicho.
much respect kwako kwa ustaarabu uliotumia
:yo:

Huyu anaonekana ni Mgeni mitaa ya huku...Yawezekana hakujua kama kapewa link akidhani jamaa anamfanyiadhiaka.
watu kama hawa ni wakuwasamehe tu Mkuu.
 
NIlishakubali makosa yangu kwa kutoelewa kama ile ilikuwa link, sasa sijui nini naomba msaada tena kabla ya ile blue screen
kuna maneno haya "Error allocating Mem BAR for pci device" je inawezekana kuna hitilafu kwenye HDD au RAM?
kwanza kwa kuanza embu elezea vizuri ni vipi hilo tatizo limeanza..yaan kuna kitu ulibadili, kuinstall au unahisi nini kimesababisha..?? au ulizima tu then baadae kuwasha ndo ikaanza hivyo..au tangu umeichukua/nunua ipo hivyo? kwa kutupa historia yake labda inaweza kusaidia maana for surely kila blue screen unayopata ina sababu yake na huwa hazifanani kwa kila pc!! kitu kidogo tu hata mtikisiko wa kijinga tu sometimes unaweza cause blue screen sababu ya kucheza kwa baadhi ya onboard devices..
 
nishamsamehe abulzahra. nimeona nitakuwa sawa na yeye nikiweka 'beef'. ave even given my advice, nasubiri tu niskie kama amefaidika
 
Last edited by a moderator:
Hakuna nilichobadili mkuu hiyo PC inazaidi ya miaka 5 inatumika, nakumbuka siku za nyuma wakati nacheza game ilizima yenyewe nilivyoiwasha haikuwaka ikatoa beep sound nilivyobadilisha RAM nikaweka katika slot nyingine iliwaka ikaendelea kupiga mzigo lakini hali hiyo ilikuwa ikijirudia na mara ya mwisho wakati nacheza game ikatokea blue screen hiyo ni juzi tu na ni mara ya kwanza kutokea hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom