Msaada wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana jf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEONELL, Jul 17, 2012.

 1. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamani hivi nikitaka ku jibu koment ya mtu laivu na kuzisoma post zao nafanyaje naombeni msaada
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,127
  Trophy Points: 280
  Dah hujaeleweka hebu elezea kwa urefu
   
 3. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  yaaah ni hivi nikitaka ku rply hii koment yako papo kwa papo bila kufunga na kuifungua tena yaaani tuwe kam tuna chati vile.sor lakin mkuu napenda kufahamu tuu
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,127
  Trophy Points: 280
  ok inaitwa instant messaging feature hio haipo hapa jamiiforums na forum nyingi duniani pia hamna. Ila unakuta forums nyengine wanaeka links kama member wanataka kuchat wanaenda hapo.

  So we ulitamani iwe kama group chat vile.
  Hio isingekua good idea maana watu wanabwatuka humu ungekuta solution imekua posted jana halafu watu wamechat leo je utaipataje solution si itakua ipo mbali?
   
Loading...