Engine za 3S ( D4 ) Zina Matatizo Gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Engine za 3S ( D4 ) Zina Matatizo Gani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Head teacher, Jul 11, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna gari ninataka kuinunua ina engine imeandikwa D4, ila ni 3S, mafundi wananitaadharisha nisinunue, itanisumbua. Hawaweki wazi tatizo lake. Msaada kwa wanaoifahamu, je ina matatizo gani?
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,896
  Likes Received: 2,316
  Trophy Points: 280
  Katika huu ukurasa wa siasa hizo engine zinaenda na mikiki miki ya ki-CDM CDM.
  UIkininua utajuta kwa migomo yake'!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  D4 chaka sana yani kwa bongo haya mafuta lazima ikuzimikie ukiwa msitu wa pande.
   
 4. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Mod remove this ***** please
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280

  Duh mkuu mbona kali hii kwenye jukwaa hili. Ngoja tuiondoe sasa hivi iende inakotakiwa
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ilishawahi kujadiliwa kwa undani hii ishu ya injini za D4 humu ndani, subiri wataalamu watakuja tena na kukufafanulia.
   
 7. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mafuta ya. Bongo wasiwasi na Mafundi wa D4. Hakuna...ukinunua D4 tembea na tool Box na fuel nozell n Pump kama 50 ivi

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Atakuwa kajisahau...
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ninachokumbuka ni kuwa hakuna mafundi wa uhakika wa gari zenye injini hiyo hapa nchini.
   
 10. m

  majebere JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Hizo injin ni kama CDM unajua itakufa lakini haijulikani wakati gani. Epukana nayo kama watanzania wenye akili walivyo epukana na CDM.
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Injini za D4 ni kama injini ya gari moja inaitwa RVR zote nivmtori sana na kama mafundi wamekushauri wanajua unataka kupigwa changa la macho tu mkuu.

  Na kama ukinunua jua umenunua body ila kubadili engine kunakuhusu. Kimbia kabisa achana na maenginw ya D4 hayafai.
   
 12. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  hii ni kweli mkuu,mjapani hakutengeneza injini mbovu ni kwamba uwezo wa mafundi wetu ni mdogo hapo na isitoshe hawako tayari kujifunza vitu vipya kabisa..me nilitegemea iwape challenge ya kujifunza zaidi wao wamekariri tu mbovu... me nnayo mwaka wa nne sasa ishakufa senser tu na nilibadilisha but mpaka kesho watu wanasema itanisumbua...gari ni matunzo mkuu...
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! nani kakuambia kuwa CDM itakufa??
   
 14. s

  sawabho JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Why, while it is properly placed in Science and Tech. Forum ?
   
 15. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  3S ni injini poa sana.RAV4 nyingi ni 3S.D4 mgogoro unakuja kuwa mafundi wengi wa bongo ni vilaza lakini ni injini poa tu.sema uwe na uhakika wa kujaza mafuta BP,maana haya mafuta yetu utaishia kupata miss kila siku.Ijapokua siku hizi kuna mafundi wengi Dar wanazijulia.sijajua kwa mikoani.
   
 16. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  D4 ni (Direct injection 4 stroke engine) kwa Toyota na GDI (Gasoline Direct Engine) kwa Mitsubishi


  Kampuni hizi mbili walikaa pamoja wakakubaliana kutengeneza engine yenye ufanisi mkubwa na kutumia mafuta machache na kufanya vizuri kwa spidi pia kuwa na emmision ndogo(euro 2-3),
  Walichokifanya hapa ni kuruhusu injection iwe direct kama engine za diesel kwa ku-inject mafuta mengi kwa interval kwenye combustion chamber
  Sasa shida inakuja watumiaji wa kwetu wanatumia mafuta ambayo si salama kwa engine husika ambayo inafanya kujaza mabaki ya carbon,wakati engine ikaperform sasa kwa kua inafanya kwa interval mafuta yanaenda kidogo kidogo inaanza kumiss na kupunguza nguvu na kwakua inatumia umeme,ikifanya hivyo mara kadhaa ina fail,ikifikia hapo lazima uivute,
  sasa mafundi wetu hawajui hilo ama jinsi ya kutengeneza ikisumbua

  Ushauri-usinunue
   
 17. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru kwa elimu uliyotoa na ushauri bora. Hapa ni kuachana nazo, isije ikainpata kama ilivyompata rafiki yangu mmoja mwenye gari furani, yapo machache sana hapa tz, yeye anatafuta fundi na spear, wanamwambia mafundi wapo Arusha na spear zipo nairobi, yaan ni taabu
   
 18. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hizi injini huwa zinaonyesha failure kwa kiwango kikubwa hapa kwetu bongo na Afrika kiujumla, nadhani ni kwa ajili ya hali ya hewa.
  Uwekaji wa mafuta hapa bongo, ni mara chache sana mtu anaweka full tank, hizi injini zinahitaji maafuta yawe full tank ili gari liwe jepesi, mafuta ya magumashi gari linakuwa nzito na halina speed.
  Wengi wa mafundi wa kibongo ni wababaishaji, hawana elimu ya kutosha, hizi injini ni full umeme, mafundi wengi wanazikimbia kutengeneza hizi injini.
  Kaka kama utanunua na litakuwa linakusumbua, jua utasumbuka kumpata fundi wa kutengeneza.
   
 19. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80

  Thanks kwa kuelewa!,mitsubishi zote zilizoandikwa GDI(i.e IO pajero,RVR,Dion.....etc etc etc) ni sawa sawa na Toyota zote zenye D4(ie 3S-FSE engine unayopata kwenye premio,nadia,vista
  mostly ardeo)
  1JZX hii ni JZX110(mark 2 grande yenye VVTi)-yaani GX110 super charger yake,
  Zipo pia kwenye 1AZ engines(opa ya 2.0,rav4 kilitime 2000+,voxy,noah ....)

  So anytime you feel like asking feel free
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
Loading...