msaada laptop inaload muda mrefu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada laptop inaload muda mrefu sana

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Epicauta elbovitata, Jul 18, 2012.

 1. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mambo vp wanajf..
  Aisee laptop yangu nikiiwasha inaload muda mrefu kwel hadi iwake inatumia kama dakika sita iv..so nilikua naomba msaada nifanyeje!?
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Toa specifications za hiyo laptop yako ili usaidiwe vizur zaid.
  Ila kwa haraka haraka tatizo hilo mara nying i husababishwa na startup programs nying ama kujaa kwa hard disk ama odogo wa ram ama speed ndogo ya prosesa. Mfano kama laptop imetengenezwa kwa ajili win xp na ina speed 1.6ghz, ukiweka win 7, basi ni lazima laptop itakuwa nzito kuload window.

   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu weka Specs na Model ya hiyo Laptop..... ni muhimu kabl ya kusema chochote!!
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  afu na pia ueleza kabla ya hapo ilikuwa ina load vizuri? na je ilikuaje mpaka ukaona inaanza kuwa slow..from there unaweza kusaidiwa vizuri!!
   
 5. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Kama unatumia windows Xp na una kauzoefu na haya mambo fanya hivi:-
  1.unistall program zote usizozitumia

  2..Delete Any unused icon

  3..Run CCleaner (Search google)

  4a.Defrag disk with auslogics disk Defragment
  (Download HAPA) Crack yake chukua ( HAPA)

  4b.run Auslogics boot-speed (HAPA)

  5..nenda my computer --> drive C --> properties --> (ondoa tick ktk Allow indexing service)

  6..Nenda my computer-->properties-->Advanced-->visual effect setting(tick adjust for best perfomance)

  7..Run-->msconfig-->startup tabs-->( ondoa tick katika zile prog usizotumia)

  8..Start-->all program-->accessories-->systemtool-->disk clean up

  9.hapa kuwa makini:-start-->Run-->regedit-->Hkey local machine--> system-->current control set--> control--> session manager--> memory Manager-->(double click kwenye "Enable pretcher" badili value kuwa 5)
  10.rudi hadi kwenye control afu double click kwenye "wait to kill service time out" na ubadili value data kuwa 20000

  11.Sasa nenda Regedit-->hkey current users--> control panel--> desktop(double click on "wait to kill app time out" na uchange value data kuwa 10000

  12.start--> run--> msconfig---> boot in (tick NOGUIBOOT)

  13.Start--> run--> regedit--> Hkey current users--> control pnel--> desktop(click on "menu show delay" na ubadili value data kuwa 0(zero)

  14.start--> run-->regedit--> Hkey local machine--> system--> current control set--> control--> click once on" contentindex" afu u double click ktk "start up delay (tick decimal bubble afu kwenye value data weka 40000.

  Sasa Restart computer yako THEN eNJOY
   
 6. E

  Epicauta elbovitata Senior Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Model ni del latitud d610..ilikua ina win xp na ikawa inaload mda mrefu ivoivo nikaitoa win xp nikaweka win7 lakin ni ivoivo..ina 1gb ram na disk space ambayo ni unused ni kama 20gb iv
   
Loading...