Cartoon Animation Project | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cartoon Animation Project

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jiccaman, Jul 17, 2012.

 1. j

  jiccaman Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habarini wadau,

  napenda sana kufanya project ya kufanya cartoon animation ,idea yangu ni kuchukua visa vyote ambavyo tunavifahamu kuanzia tukiwa watoto na kufanya cartoon animation project(sani,katuni za magazetini etc).

  Naombeni mawazo jinsi gani naweza kuanza,nitahitaji watu wa namna gani?sofware gani?skills?pesa kiasi gani,na ntapata vipi fedha out of that,na je mnaonaje ni kitu kizuri kufanya? i mean ni business nzuri kufanya?

  Please naombeni mawazo yenu niweze kuondokana na umaskini kwa kutumia kichwa changu na knowledge yangu.

  Mwanzo mgumu.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nenda DIT(zamani Dartek kituo cha akiba)DIT Dar es salaam Institute of Technology ulizia dept ya Multmedia,utapata kila kitu kuanzia training na software zote za animation.kama utaitaji msaada zaidi ni PM
   
 3. j

  jiccaman Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks ,ntapita pale mkuu
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  I love animating, bongo ingekua dili i،d hav made a career outta it, but now its just a hobby. I enjoy doing it in my free times! But i can tell ya 1 thing it ain't easy! Best software in the market is Autodesk,Maya! But ts not for free, Blender ni free but its not sophisticated as maya. Hizo zote ni 3D, kwa story ulizosema hata 2d sio mbaya,if u hav seen that show called "South park" utaona hata 2d nayo unapiga fresh 2. Mainly Inabidi kupata artists wa kucreate characters kama jamaa wale wanaochora kwenye sani,animators maana hiyo kaz kwa m2 m1 ni balaa! Clip ya dk10 unaweza kata ol day!! Bila kusahau voice actors.Hii idea nzuri maana Budget yake c kubwa sana ukilinganisha na hizi bongo mvy uchwara,so kama muvi ikiuza sana profit itakua kubwa,tatzo wa2 weng here wanawaza toons r just 4 kids ila hii toon unayosema ikiwa na sura zinazojulikana lyk Madenge lodilofa na wengine itakua of great interest.
  Ps:
  u can try chckn out "stick figure animator" just put t on google nd download t! Ts just like 1MB,its simple ina some made animations fun and gives you a basic idea how flames work and ol. Ni 2d though if ur ready kwa 3D try "Anim8r"! Jus get in Anim8r.com utaipata!nzuri 4 beginers. Good luck
   
 5. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Start small, jifunze software angalau moja kwanza kuelewa "lugha" kwenye huu uwanja wa animation na 3D kwa ujumla, maneno kama tweening, pipeline, rigging, vector graphics nk. Chukua software blender3D, hata kama ni ya bure, features sambamba na hizo za maelfu ya $.
  Kwa sababu nimesha ichagua blender, nender youtube utafute videos zake, utajifunza mengi... baada ya hapo utaweza kujua kikosi utakachohitaji, lakini zifuatazo ni muhimu
  -modeller/Artist
  -Animator
  -Compositor

  Wengine: Voice artists...

  Ki-biashara, nadhani jipange kutengeneza short animations, zisizidi 60 seconds, hapo utaweza kujipanga kutengeneza at least 1 kila siku, kwenye mauzo, unaweza kuwasiliana na magazeti yaliyo na presence online (ippmedia et all) na kuwa na sehemu ya kuionyesha hiyo video/animation/catoon.

  Mkisha jipanga ipasavyo kwenye hiyo kazi, mnaweza kutengeneza "educative" movies, labda kwa niaba ya wizara ya afya, wizara ya elimu, usalama barabarani etc etc... Hapo inabidi kazi iwe ya standard nzuri ndio kuongeza biashara kwenye mambo kama advertisements/commercials.


  Boneco de Barro | reel 2011 on Vimeo


  don't attempt this before doing all mentioned above, this is master level blender, big money no doubt
  Russian Soda Commercial by ARt DDs | BlenderNation

  Haya yote yakijipa, usisahau kunikumbuka hata bia moja inatosha!...

  All the best.
   
Loading...