'Kuuliza si ujinga'. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Kuuliza si ujinga'.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Brightman Jr, Jul 17, 2012.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Habari wakuu! Tafadhali naomba kuelimishwa jinsi ya kufungua na kusoma mafaili ya pdf kwa kutumia simu. Wataalam msaada tafadhali.
   
 2. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  unatumia simu gani mkuu?
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nokia 3110C.
   
 4. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nokia 3110C haina uwezo wa kusoma mafaili.Chakufanya!
  Kwakuwa simu yako ina memory card basi hizo pdf na doc zi download halaf hakikisha unazihifadhi kwenye memory. Nunua card reader ambayo utaitumia kuweka mcard na kuunga kwenye PC yako na ukayasoma au ukayahamishia huko au vyovyote utakavyopenda!
   
 5. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Unatakiwa kuwa na Android, symbion, Blackberry, au iphone operating system. Kwa lugha rahisi kuwa na smartphone
   
 6. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wakuu wote hapo juu nawashukuru sana kwa ushauri na maoni yenu. Nitayafanyia kazi.
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,127
  Trophy Points: 280
  its easy brother kusoma pdf sio lazima utumie software unaweza kusoma online kama unapenda kujifunza search google keywords hizi 'online pdf viewer' kama hupend kujisumbua ingia link hii

  Online viewer for PDF, PostScript and Word

  Make sure link yako utakayo ipaste iwe imeishiwa na .pdf

  Hapa ntakupa tutorial kwa opera 5 kupanda juu hadi opera 7.

  -jinsi ya kupata direct link ya .pdf
  Hapa utaenda hadi sehemu ya kudownload (hakikisha ukiclick tu hapo ndo inadownlod) hold centre button halafu click open in new tab. Katika new tab utapata direct link ya pdf

  -how to save
  Hapa itabidi utumie option ya opera ya saved pages isave ili kuview anytime you want bila kuload net

  Note: hapa nimekufundisha kwa online kama file lipo kwenye memory card li upload hiyo web.

  Kwa maswali zaidi ikiwa hujaelewa tuma chini
   
 8. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Chief-mkwawa naendelea kufanyia kazi suala lako nitakupa feedback.
   
 9. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  Symbion wanatengeneza umeme mkuu
   
 10. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu nafikiri alikuwa na maana ya symbian.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hiyo simu haina software ya pdf kuweza kusoma hayo mafaili!!!!!!!
   
 12. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pia unaweza kuingia kwenye Nokia apps store uka download pdf reader na uka install kwenye simu yako, hata kama si smart phone.

  I had such nokia phone before and been able to view pdf after installing a reader
   
Loading...