How to hack your psp

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Salaam wakuu. juzi nilikua bored nakucheza cd zangu za psp nikaona nifanye maujanja ya kuhack, its possible. well ni rahisi sana na inasaidia unakua unadownload iso files nakurun directly kweny psp without having a UMD. unachofanya nenda kwenye official site ya sony download latest firmware(OFW) then ukisha update firmware then angalia iyo version then google custom firmware ya that original version. ukimaliza hapo unainstall then simply unaweza kudownload games kwenye pc then unaziingiza kwenye psp yako na kuenjoy!
 
nenda kwenye official site ya sony download latest firmware(OFW) then ukisha update firmware then angalia iyo version then google custom firmware ya that original version.
mkuu unaweza kuwa umekosea. mara ya mwisho nilivyotumia psp official version 6.01 ilikuwa unhackable kwa psp. ofcourse kuna uwezekano hacking yake imeendelea zaidi, ila kwenye hacking gadgets siwashauri watu wa upgrade official firmwares, unaweza uka upgrade kwa kutumia CFW
leh
de8yv8.gif
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom