Msaada wa printer setup

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,361
94,539
Niko na printer ambayo setup cd yake ilipotea hivyo naomba msaada wa jinsi gani nitaipata hata kudownload
printer name: Epson
aina ya printer ni ME office 560w
 
Google it au ingia kwa site ya Epson. By the way kama unarun latest OS (mf. Win 7) huhitaji kuna na CD sababu zinakuja preloaded.
 
Printer drivers zinakuwa pre-loaded with the OS
mmh, sio driver za printer zote mkuu..na sio win7 tu hata xp zinazo..tatizo ni chache sana..ila tu win 7 ina uwezo mkubwa wa ku search online for driver unapokuwa connected na internet kwa haraka zaidi kuliko win nyingine zilizopita so inaweza ukadhani ilikuja na driver zake kumbe imesearch tu kwenye net na kuinstall yenyewe!!
 
Perfect!
 
Back
Top Bottom