Hii ni chance kwa all jamii forum members

The Tan-talizer

Senior Member
Mar 28, 2012
155
50
Mimi kama admin:A S-key: wa NOLNIZ nawakaribisha wooote katika blog hiyo :welcome:
Ombi langu kwenu ni kwamba muwe huru kunitumia story yoyote ile yenye ukweli unayohitaji jamii iitambue na ukitaka jina lako pia tutaliweka na hii ni kwa sababu Jamii forum ni chanzo kikuuubwa sana cha habari kwangu.. :focus: ninaomba ushirikiano wenu :)A S-alert1: nolniz@yahoo.com) tujuzane kupitia hiyo:A S 101:.... kama ulikuwa hujui hii blog ndio ilofanikiwa kuwa 2012 TANZANIAN BEST NEWCOMER BLOG:first:
Ntashukuru sana tukisaidiana katika hilo:help:... Pamoja sana
 
Brother blog si kama forum kila kitu unapost nakushauri tafuta kitu kimoja kiwe kinaitambulisha blog yako mfano blog ya muziki.

wewe naona umemix siasa na mambo ya muziki humo humo
 
Nimekuelewa kaka tajitahidi hivyo soon ili ibase kwenye isue moja...!! Nishauri kingine brother mapungufu yapo wapi tena pengine????
 
fanya mawili kati ya haya.

-Toa post zisiwe full (excerpts)
Yani ufanye mtu asome summary kidogo tu then kuwe na read more

-punguza namba ya post per page ziwe 5

Nimeongea hayo maana page zako ni nzito picha zina kb nyingi so kuload page 1 inatake time inaweza ikawaboa watu so jaribu kuchagua option moja kati ya hizo
 
Bora wewe umedeclare interest kabisa kuliko watu wengine huamua tu kuweka link kumbe ni promo za blog zao..... ingawa title nayo...LoL...nilidhani kuna ubwabwa mahali...
 
na wew umetoa maoni mmmhhhh..
 
Brother blog si kama forum kila kitu unapost nakushauri tafuta kitu kimoja kiwe kinaitambulisha blog yako mfano blog ya muziki.

wewe naona umemix siasa na mambo ya muziki humo humo

naomba unielekeze jinsi ya kuweka read more katika blog..
:help:
 
fanya mawili kati ya haya.

-Toa post zisiwe full (excerpts)
Yani ufanye mtu asome summary kidogo tu then kuwe na read more

-punguza namba ya post per page ziwe 5

Nimeongea hayo maana page zako ni nzito picha zina kb nyingi so kuload page 1 inatake time inaweza ikawaboa watu so jaribu kuchagua option moja kati ya hizo

Nimekuelewa kaka hivyo vyote navifanyia kazi leo..!! Kama kuna mwingine pia mwenye ushauri kuhusu hii kitu ili tuweze fanya kitu chenye angalau mwonekano
 
naomba unielekeze jinsi ya kuweka read more katika blog..
:help:

Mkuu read more ni option katika themes ya blog ntakupa tutorial fupi na hii itafanya kazi kama una host wako yani hujafungua kwenye website za wenzio. Ie wordpress.com au blogspot.com

Easy method
Hapa itabidi ulog in katika blog yako kama admin then itafute themes yako nenda katika setting zake utakuta option ya kuset either full au expert (short). Sema njia hii ni very weak manake si theme zote zina option hiyo so unacheza pata potea

Advanced method
Hapa itabidi tuedit mafile ya themes mara nyingi linakua index.php au function.php au loop.php

Ukilipata kuna kitu kipo namna hii

< d i v c l a s s = " e n t r y C o n t e n t " >
< ? p h p t h e _ p o s t _ t h umb n a i l ( ) ; ? >
< ? p h p t h e _ e x c e r p t ( ) ; ? > < / d i v >

Hapo kwenye expert kwako itakua content so change iwe expert

Kwa maelezo zaidi tumia keywords hizi kugoogle

Wordpress expert full content
 
Back
Top Bottom